Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

Ili la kukopesha aisee achana nalo kabisa wacha wakakope benki. Wee toa msaada kulingana na uwezo wako.

Wakaki wa neema kijana weka akili yako sawa maana maisha yana kupa da na kushuka. Leo account inasoma mil100 usidhani ndio muda wakugegeda warembo wote wenye misambwanda hapo dar....tulizana gegeda kwa kiasi (usiache kugegeda kabisa maana matumizi ya hela ni kugege)
 
Mm nimekwama hapa mpaka leo
Tangu 2021
Kind like my brain is wired into it
Namaliza mshahara Kwa kujipa matumaini kua nitatoboa ☹️☹️
 
Mtafutaji Haaribikiwi na Maisha ni Breakdown tu chuma inarudi garage kidogo then inarudi road Mpya kabisa
 
hapa nimechukua kitu mkuu

Mkuu shukrani,hapa nafuga vikuku vichache Ila naona faida kwa kweli,vipi umefanikiwa kulima na kufuga km ulivyotamani?
 
Mwaka 2017 nilipomaliza chuo Nikazalishwa hapo ndo ikawa mwanzo wa maisha yangu kuharibika mpaka Leo hii no job no anything baada ya hapo maisha yangu yamestack ila naamini siku moja mambo yatakua sawa.Mungu ni mwema
Sema utam utam 🤣🤣🤣🤣
 
Mkuuu leta huu mkasa Basi,au ushauletaga?
 
Aisee ni mke wako, ni mwanamke mwenzangu lkn kanitia hasira. Usimtafte kausha kama sio wewe, unapoishi hama na akijirudi alafu alafu aanze tena habari za majirani mwambie achague ww au majirani akimaliza kuchagua mpe atakacho. Kua kax kuanzia leo yaani kifupi badilika ww. Pole Mwaya ila ukimtafta we ni bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…