Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Mimi ni kijana wa zamani,kwa Sasa Nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53)naelekea uzeeni. Enzi hizo kazi za kuajiriwa haikuwa shida sana kama ilivyo hivi Sasa!
Pia wasomi hawakuwa wengi kama ilivyo hivi Sasa,kila nyakati Zina changamoto zake!Simu za mikononi zilikuwa hamna Wala mitandao ya kijamii ilikuwa hakuna na barabara kwa ujumla zilikuwa za ovyo sana.
Hivi Sasa mambo yamebadilika sana,taarifa zozote unazipata hata ukiwa umelala!.Kwa sasas ajira ni ngumu za kuajiriwa na serikali au sekta binafsi, pale ulipo au unapoishi kuna fursa nyingi za kufanya kulingana na Eneo ulilopo, Mfano kuna saidia fundi ujenzi, magenge ya kuuza vitu, kulima bustani na kuwauzia wenye migahawa na mahotel,kuuza chipsi na mishikaki, kuuza maji nk,
Tusione Aibu ,mwanzo mgumu.Ahsanteni.