Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
- Thread starter
- #21
Mabadiliko ni lazima yatokee ili mtu asonge mbele,ukiwa na plan A"tafuta pia plan B;ili ikifeli moja unajaribu nyingine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akubariki saaaaaana ila fursa ya kuwa Chawa wa Mama ni ujinga
Hahahahaa ila sio lastingKama unalipa kuwa chawa tuu!
Sawa mkuu.Hahahahaa ila sio lasting
Soma maudhui acha ujuaji,yatakushinda mkuu,mada sio mpangilio wa maandishi sio fani yangu uandishi wa habari kuwa na adabu hata nusu kijiko!Mtu wa miaka hamsini anaandika vitu vya ovyo ovyo visivyo mpangilio