K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Aug 15, 2023 Thread starter #21 Mabadiliko ni lazima yatokee ili mtu asonge mbele,ukiwa na plan A"tafuta pia plan B;ili ikifeli moja unajaribu nyingine!
Mabadiliko ni lazima yatokee ili mtu asonge mbele,ukiwa na plan A"tafuta pia plan B;ili ikifeli moja unajaribu nyingine!
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Aug 15, 2023 Thread starter #22 Kama unalipa kuwa chawa tuu! Elli said: Mungu akubariki saaaaaana ila fursa ya kuwa Chawa wa Mama ni ujinga Click to expand...
Kama unalipa kuwa chawa tuu! Elli said: Mungu akubariki saaaaaana ila fursa ya kuwa Chawa wa Mama ni ujinga Click to expand...
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Aug 15, 2023 #23 Kimwakaleli said: Kama unalipa kuwa chawa tuu! Click to expand... Hahahahaa ila sio lasting
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Aug 15, 2023 Thread starter #24 Elli said: Hahahahaa ila sio lasting Click to expand... Sawa mkuu.
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,045 Reaction score 8,608 Aug 15, 2023 #25 Mtu wa miaka hamsini anaandika vitu vya ovyo ovyo visivyo mpangilio
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Aug 15, 2023 Thread starter #26 uwe hodari said: Mtu wa miaka hamsini anaandika vitu vya ovyo ovyo visivyo mpangilio Click to expand... Soma maudhui acha ujuaji,yatakushinda mkuu,mada sio mpangilio wa maandishi sio fani yangu uandishi wa habari kuwa na adabu hata nusu kijiko!
uwe hodari said: Mtu wa miaka hamsini anaandika vitu vya ovyo ovyo visivyo mpangilio Click to expand... Soma maudhui acha ujuaji,yatakushinda mkuu,mada sio mpangilio wa maandishi sio fani yangu uandishi wa habari kuwa na adabu hata nusu kijiko!