Kijani yatawala Magazeti Yooote. Rais Samia ateka mijadala yote Duniani

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

CCM ndio habari ya Mjini, Rais Samia ndiye Habari ya Dunia na Tanzania ndio inayovuma Dunia Kwote.

Kwa Sasa habari inayovuma na kuteka mijadala mitaani na Dunia nzima kwa ujumla wake ni juu ya uteuzi wa Rais Samia kuwa Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika mwishoni mwa mwaka huu 2025 .

huku Balozi DKT Emmanueli Nchimbi akipendekezwa kuwa Mgombea Mwenza wa Rais Samia.

Leo ukipita kila gazeti na magazeti yoote Nchini yametawaliwa na kijani tupu Utafikiri uoto wa mlima kilimanjaro.huku Rais Samia akiwa kateka kila habari na kila gazeti katika kurasa zake z a Mbele. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu.

Huwezi ukashindana na aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu.Rais Samia kainuliwa na Mungu Mwenyewe na hivyo huwezi kushindana naye.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Tupatie rejea yoyote kutoka sehemu yoyote duniani ambapo Kuna mjadala unaendelea kuhusu Samia nami nitakua wa kwanza kuamini! Dunia sasa inajadili makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana wafungwa kati ya Israel na Hamas, Dunia inajadili kuhusu Moto wa Nyika Kule Loss Angeles na Dunia unaangalia Jinsi Trump atakavyoathiri siasa za duna.
Mjinga wewe
 
Kama BBC ya uingereza inajadili habari za Mheshimiwa Rais Samia.Kenya ni nani mpaka waikwepe habari kubwa kama hiyo?

BBC Swahili inajadili mpaka habari za M23 mambo yanayoendelea Kivu huko.

BBC Swahili ipo kwaajili yakuwapa habari wazungumzaji wa Kiswahili Easy Africa na eneo la maziwa makuu.

Badirisha channel yako kwenda BBC international channel ya kiingereza uone kama huo mjadala wenu wa Dodoma.
Angalie CNN, Al-Jazeera, Reuters, CBS nk kama kuna hiyo mijadala yenu ya Dodoma.

Kifupi pale Dodoma lilikuwa kusanyiko la watafuna nchi na watu wanaolitia Taifa hasara na kuendelea kulifanya liwe Taifa masikini.
 
Acha wivu wako hapa wewe
 
Dude you are seriously sick and you need immediate therapy
 
Kama BBC ya uingereza inajadili habari za Mheshimiwa Rais Samia.Kenya ni nani mpaka waikwepe habari kubwa kama hiyo?

BBC Swahili inajadili mpaka habari za M23 mambo yanayoendelea Kivu huko.

BBC Swahili ipo kwaajili yakuwapa habari wazungumzaji wa Kiswahili Easy Africa na eneo la maziwa makuu.

Badirisha channel yako kwenda BBC international channel ya kiingereza uone kama huo mjadala wenu wa Dodoma.
Angalie CNN, Al-Jazeera, Reuters, CBS nk kama kuna hiyo mijadala yenu ya Dodoma.

Kifupi pale Dodoma lilikuwa kusanyiko la watafuna nchi na watu wanaolitia Taifa hasara na kuendelea kulifanya liwe Taifa masikini.
 
Basi nimefungua Uzi wako nikitegemea kuona utakuwa umeambatanisha na picha ya viongozi wa maccm akiwemo Samia mwenyewe ikiwa kwenye kurasa ya mbele kabisa ya gazeti kama NEW YORK TIMES au Washington Post, kudhiirisha kwamba Dunia inamuongelea Samia na CCM yake..... Kumbe magazeti yenyewe unayotwambia ni uhuru? au siku hizi hayo mgazeti yenu na yenyewe yanasomwa ulimwenguni kote?
 
KWahiyo hapo unabubujikwa na machozi ya furaha na ukilia kwa kwikwi ukiwa umejiinamia kama mc pilipili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…