Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ndio habari ya Mjini, Rais Samia ndiye Habari ya Dunia na Tanzania ndio inayovuma Dunia Kwote.
Kwa Sasa habari inayovuma na kuteka mijadala mitaani na Dunia nzima kwa ujumla wake ni juu ya uteuzi wa Rais Samia kuwa Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika mwishoni mwa mwaka huu 2025 .
huku Balozi DKT Emmanueli Nchimbi akipendekezwa kuwa Mgombea Mwenza wa Rais Samia.
Leo ukipita kila gazeti na magazeti yoote Nchini yametawaliwa na kijani tupu Utafikiri uoto wa mlima kilimanjaro.huku Rais Samia akiwa kateka kila habari na kila gazeti katika kurasa zake z a Mbele. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu.
Huwezi ukashindana na aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu.Rais Samia kainuliwa na Mungu Mwenyewe na hivyo huwezi kushindana naye.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.