SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
kwahiyo mungu wenu ninyi anaweza tu kujidhihirisha kwa kuzuia huo msikini na nyumba, hawezi kuonekana kwenye maisha yenu? kwani shetani hawezi kuzuia izo zisivunjwe? hasa akiwa na lengo la kuwahadaa ili muendelee kuamini huo uongo na upotofu. kama haujui, kuna kipindi hapahapa duniani shetani kupitia mpinga kristo atakuwa na uwezo wa kuamuru hata moto ushuke toka angani na atafanya miujiza ya ajabu ajabu. huyo ni shetani. sasa anashindwaje kuzuia icho kijumbe kisibomoke ili aendelee kuwahadaa kwamba mnachoamini ndicho sahihi?

pale mbeya, kuna siku msiba ulitokea, wakati wa maziko mvua ikataka kunyesha, wachawi/machief wakazuia mvua, ikanyesha koote kuzunguka eneo la kaburi, ila pale kwenye kaburi hapakunyesha kitu. huo ni muujiza na ni wa kishetani tu. sasa kama mtu anafuga majini kwake, na kwenye jengo fulani kuna majini huwa yanaenda kusali, kwanini yasizuie kijumba kisidondoke? akili ya kawaida tu, yaani muujiza wa mungu wako unazidiwa hata na mujiza wa machief wa mbeya waliozuia mvua, kwenye kaburi jua linawaka, hatua kadhaa huko mvua kubwa hadi masishi yalipoisha.
 
Kuna maana gani msikiti kubaki wakati waumini (wenye dini) wamekufa!? Huyo Mungu analinda msikiti na kushindwa kuwalinda watu wake!
 
Spiritual connection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa tsunami kule Aceh Indonesia na tetemeko la Turkey picha kama hizi zilitembea sana. Baadae watu wakaprove zilikuwa fake.

Hebu tuambie ni kijiji kipi huko Moroco ambako hii picha imepigwa. Na sisi tuangalie kwa google map tuamini uwezo wa Allah
 
Kama wewe sio geologist na huna lolote la kusema kuhusu hilo bora upite tu, naona unatafuta mengine
Niliona hii issue kwenye TV.

Kwa mazingira niliyoona ni kwamba nyumba za wenyeji asilimia kubwa zimejengwa kwa udongo(tope), na ujenzi wake ni wa kushikamana (ukuta kwa ukuta).
Ila msikiti umejengwa kisasa na unaonekana mjenzi amezingatia masharti yote ya ujenzi wa nyumba.

Hiyo ni sayansi tu, hakuna maajabu yoyote.
 
Unaamini Google kuliko journalist aliko kwenye sehemu ya tukio??? Google anakua fed na watu kulingana na interest zao au matakua, vyuo vikuu vingi Google sio reliable reference utakosa marks kwenye coursework bure.
 
Hii inamaana majengo hayo yalikuwa imara kulinganisha na mengine.
 
wavaa kobaz wanapenda sana vitu feki. hata Gaza kuna kipindi walikuwa wanajifanya wanaenda kuzika mtu aliyeuawa na waisrael, myahudi aliporusha bomu likadondoka karibu na kundi lao wakatawanyika wakikimbia, hata ule mwili wa marehemu walikuwa wamebeba kwenye machela uliamka ukaanza kutimua mbio. kumbe yote walitaka huruma kwa watu. kila wanachokiamini ni fake na kililetwa maalumu kupindua Biblia.
 
Unaamini Google kuliko journalist aliko kwenye sehemu ya tukio??? Google anakua fed na watu kulingana na interest zao au matakua, vyuo vikuu vingi Google sio reliable reference utakosa marks kwenye coursework bure.
Hahaaa...Maneno mengi ya nini mkuu. Tuambie jina la sehemu yalipo hayo majengo na sisi tujionee wenyewe muujiza wa mungu. Au hautaki tuzuoom google tujionee wenyewe? Siku hizi utapeli mwingi ndiyo maana tunataka kuona wenyewe
 
Kwahiyo mbona maghorafa kule uturuki yali poromoka ma ingeneer walikua fake, af nyumba zote ziwe mbovu kijiji kizima hakina mwenye uwezo kweli, mambo mengine tukubali.
 
Kwahiyo mbona maghorafa kule uturuki yali poromoka ma ingeneer walikua fake, af nyumba zote ziwe mbovu kijiji kizima hakina mwenye uwezo kweli, mambo mengine tukubali.
hoja ni kwamba, huo ni muujiza mdogo sana, hata shetan anaweza kuufanya hivyo hakuna proof kama aliyezuia msikiti usidondoke ni mungu au shetani. kwa habari ya uturuki, nadhali uliona kwa macho yako jinsi serikali ilivyokusanya mainjinia woote waliokuwa wameweka matairi chini ya magorofa wakati wa ujenzi, na waliwapiga risasi kama adhabu ya kifo. msikiti haukuwekwa matairi chini. akili zao waliamini ukitanguliza matairi kwenye msingi, tetemeko likija jengo litadundadunda na halitaporomoka, kumbe wamebugi, yale yaliyoporomoka ndio yalikuwa ya aina hiyo. hawakutakiwa kufanya experiment hiyo kwenye nyumba za kuishi. hata hivyo, huo ni muujiza mdogo sana hata jini tu anao uwezo kuufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…