SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

Screenshot_20230913-072231_WhatsApp.jpg

Tunachokijua
Usiku wa Septemba 9, 2023, tetemeko kuu la ardhi lilitokea nchini Morocco na kuharibu vibaya moja ya maeneo muhimu ya kihistoria katika milima ya Atlas ya Juu, msikiti wa ardhi na mawe uliojengwa na nasaba ya enzi za kati iliyoteka Afrika Kaskazini na Uhispania.

Vyombo vya habari vya Morocco viliripoti kuwa sehemu za Msikiti wa Tinmel zimeporomoka. Picha zinazosambaa mtandaoni zilionyesha kuta zilizoanguka, mnara ulioanguka nusu na marundo makubwa ya uchafu.

screenshot-2023-10-05-161114-png.2772728

Mwanaume akitembea karibu na Msikiti wa Tinmel, ambao uliharibiwa na tetemeko kuu la ardhi, huko Tinmel, Morocco, Septemba 11. REUTERS/Hannah McKay
Kikijibu swali la Reuters kuhusu uharibifu ulioripotiwa kwa Tinmel, chanzo cha Wizara ya Utamaduni ya Morocco kilisema Wizara imeamua kukarabati na kuurejesha msikiti huo na wangetoa bajeti ya kutosha kufanikisha kazi hiyo.

Msikiti wa karne ya 12 ulijengwa ambapo nasaba ya Almohad ilianzisha mji mkuu wake wa kwanza katika bonde la mbali la Atlas kabla ya kwenda kuteka Marrakech, kumtangaza kiongozi wake Khalifa, na kuandamana katika eneo hilo kwa kuchochewa na bidii ya kidini.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kitamaduni UNESCO limesema limesikia "uharibifu muhimu sana kwa Msikiti wa Tinmel", ambalo limeongeza kuwa lilipendekezwa kuorodheshwa kama eneo la Urithi wa Dunia, lakini likaongeza kuwa bado linasubiri kutuma timu kutathmini uharibifu huo.

Hadi Septemba 11, 2023, takriban watu 2,000 wamekufa katika tetemeko hilo la kipimo cha 6.8, ambalo ndilo lililoharibu zaidi eneo hilo tangu mwaka 1900. Lilipiga siku ya Ijumaa usiku, na kuharibu majengo ya jadi katika Atlas Kuu na kuanguka kwa nyumba za matofali na mawe katika vijiji vingi vinavyoonekana.

Tetemeko hilo pia lilisababisha uharibifu katika mji wa zamani wa Marrakech , eneo la Urithi wa Dunia wa UNESCO, ambapo mnara ulipinduka na sehemu za kuta za jiji la kihistoria kuanguka pamoja na baadhi ya nyumba za jadi.

JamiiForums imebaini kuwa Madai ya msikiti kutokuharibiwa na tetemeko hayana ukweli, na hakuna taarifa zinazothibitisha jambo hili.
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.View attachment 2747461
Swali langu ni kwamba, Je unauhakika huo ni msikiti?

Waweza kuonesha refference ya hii taarifa yako.

Sorry
 
Swali langu ni kwamba, Je unauhakika huo ni msikiti?

Waweza kuonesha refference ya hii taarifa yako.

Sorry
hata ingekuwa, huo ni muujiza mdogo sana, ni tofauti na Mungu wetu aliyeumba mbingu na nchi na aliyetenganisha maji ya bahari ay shamu waisrael wakapita, historia ambayo hadi leo wamisri wanaikumbuka vizazi na vizazi. huyo ndiye Mungu wa israel, sio fiction ya mtu fulani tu asiyejua kusoma na kuandika anayeamini kufuga baadhi ya majini "mazuri kwake" sio dhambi.
 
Unaamini Google kuliko journalist aliko kwenye sehemu ya tukio??? Google anakua fed na watu kulingana na interest zao au matakua, vyuo vikuu vingi Google sio reliable reference utakosa marks kwenye coursework bure.
Nioneshe refference
 
Kwahiyo mbona maghorafa kule uturuki yali poromoka ma ingeneer walikua fake, af nyumba zote ziwe mbovu kijiji kizima hakina mwenye uwezo kweli, mambo mengine tukubali.
Uturuki ilikuwa 7.8 hili la Morocco ni 6.8 huwezi kulinganisha.

Ila ukiona imani yako inaimarika kwa kupitia hili janga basi komaa.

Muhimu: Fuata misingi yote ya kisayansi iliyokubalika kitaalam unapofanya jambo lolote.
 
hata ingekuwa, huo ni muujiza mdogo sana, ni tofauti na Mungu wetu aliyeumba mbingu na nchi na aliyetenganisha maji ya bahari ay shamu waisrael wakapita, historia ambayo hadi leo wamisri wanaikumbuka vizazi na vizazi. huyo ndiye Mungu wa israel, sio fiction ya mtu fulani tu asiyejua kusoma na kuandika anayeamini kufuga baadhi ya majini "mazuri kwake" sio dhambi.
Wewe Unauhakika bahari ya shamu ilitengana!?

Nyie wote ni wazee wa hersey tu. Mmemezeshwa mauongo tu ya dini.
 
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

Foundation inaelezea o Koo
 
Wewe Unauhakika bahari ya shamu ilitengana!?

Nyie wote ni wazee wa hersey tu. Mmemezeshwa mauongo tu ya dini.
kawaulize wamisri wote leo watakuambia. hata mood aliamini hivyo kuhusiana na story ya firauni ambaye hadi leo mabaki yake yapo. firauni (farao) alikufa baada ya kuingia sehem maji yametenganishwa katikati ya bahari, waisrael walipovuka tu Musa akapiga maji kwa fimbo yakajirudi kama bahari tena na firauni akafia humo. mwili wake ulipopatikana ndio wakauhifadhi ili iwe kumbukumbu kwenu ninyi.
 
Miezi michache imepita Tetemeko -uturuki ,likaenda piga Morocco,jana Libya imepigwa na mafuriko watu 2000 wamekufa

Ni Mwendo wa Mapigo tu kwa Waarabu mpk wamrudie Mungu wa Kweli😇
Waache kufeeraiina
 
Sorry kama nimekukwaza,swali lako nimeona la kinafiki,ungesema kua tetemeko limevunja nyumba karibu zote isipokua majengo mawili tu,hapo tungekupa jibu la kitaalamu,bt kutaja msikiti na mjenga msikiti umeingiza suala la imani,jibu gani utapewa zaidi ya jibu la kiimani?
Kama wewe sio geologist na huna lolote la kusema kuhusu hilo bora upite tu, naona unatafuta mengine
 
Sorry kama nimekukwaza,swali lako nimeona la kinafiki,ungesema kua tetemeko limevunja nyumba karibu zote isipokua majengo mawili tu,hapo tungekupa jibu la kitaalamu,bt kutaja msikiti na mjenga msikiti umeingiza suala la imani,jibu gani utapewa zaidi ya jibu la kiimani?
Sitatia neno, tutaelekea kwenye mabishano ya sio kua na tija kabisa, majengo ni majengo iwe kanisa uwe mskiti iwe bar nk. Kutaja jina la jengo haibadili ukweli wowote, ila basi liishe hilo.
 
Libya nako Kuna mafurikoo zaidi ya watu 5000 wanahofiwa kuaga dunia
 
Libya nako Kuna mafurikoo zaidi ya watu 5000 wanahofiwa kuaga dunia
Tunashukuru Mungu kwamba hayo yote hajatokea chini ya sub saharani Africa, tusingepata coverage na misaada kama hao wenzetu walivyo saidiwa maita 5000 hapa TZ nijanga kubwa almost kila kitu kingesimama ili kuweka mambo sawa, na hamna nchi ya kujitolea kiukweli ukweli kusaidia.
 
Hili linajionesha bayana watu wa eneo hilo walifanya machukizo sana kwa mwenyenzi mungu, walimchukiza sana mungu kwa kudharau watu na kuwa wabinafsi wao kwa wao, linawezekana alijenga msikiti alimcha mungu na kutoa vile alivojaliwa.

Zinaa ziliwazidi, fitina, roho za husda, wivu, ubinafsi na choyo, dharau na kiburi, mengine watamalizia waislamu......mimi si muislam ila hili linaonesha jamii hiyo ilikuwa ni waja wa mungu walio kiremiwa vizuri sana na walipata tawala za juu za kifalme kwa wakirstu tunaamini hivo ila sasa tamaa za dunia ziliwazidi wakaona mungu kwao ni ziada.
Hao siyo Watanzania?
 
Utasikia ulikuwa msikiti na wanaswali tano.matukio hayo waislamu wanayapenda sana kujimwambafai kuwa wao nibora.
Niliangalia Ile tusunami iliyotokea nchi Fulani iliposomba nyumba lakini msikiti ukabaki.
Kitaalamu msikiti asilimia kubwa una uwazi mkubwa wa madirisha na ambayo asilimia kubwa Huwa hakuna kizuizi kwa basi maji yanavo pita hayawezi kuwa na kizingiti ukilinganisha na nyumba zilizo na ukuta asilimia kubwa
 
hoja ni kwamba, huo ni muujiza mdogo sana, hata shetan anaweza kuufanya hivyo hakuna proof kama aliyezuia msikiti usidondoke ni mungu au shetani. kwa habari ya uturuki, nadhali uliona kwa macho yako jinsi serikali ilivyokusanya mainjinia woote waliokuwa wameweka matairi chini ya magorofa wakati wa ujenzi, na waliwapiga risasi kama adhabu ya kifo. msikiti haukuwekwa matairi chini. akili zao waliamini ukitanguliza matairi kwenye msingi, tetemeko likija jengo litadundadunda na halitaporomoka, kumbe wamebugi, yale yaliyoporomoka ndio yalikuwa ya aina hiyo. hawakutakiwa kufanya experiment hiyo kwenye nyumba za kuishi. hata hivyo, huo ni muujiza mdogo sana hata jini tu anao uwezo kuufanya.
Kwamba wali weka matairi?
 
Back
Top Bottom