SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kwa Libya ni Yesu kalipiza. Unakumbuka walivyowachinja wale wakristo kutoka Ethiopia kwasababu walikataa kusilimu kufuata mila za kiarabu?
Bukoba yesu alikuwa analipiza nao waliwachinja watu gani?
 
Hayo ulio yaorodhesha hapa mbona bongo yapo tu kwahiyo tungoje tetemeko?
 
Sidhani kama ni kweli hiyo ni Imani yako dunia nzima imejaa majanga hiyo ni kawaida Africa tuko kwenye hali ya majanga January hadi December sijui kama kweli ni mpago wa yesu kutuadhibu kama unavo taka kutuaminisha.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Nataka kuamini kuwa wewe ni mja wa Subhanau Wa Taala!
Sasa sijui kipi cha thamani mbele za Mungu, Majengo au Watu?
Yaani kama watu wamekufa msikiti ukabaki haina maana mbele za Mungu!
Huyo anayeua Watu harafu anaacha miskiti ni Shetani!
Cha ajabu huenda wakazi wa kijiji hicho walikuwa Waislamu!
 
Mosi, Tupe legit source ya habari yako. Sio kuaminishana ujinga kama nyumbu tu, huwa warahisi sana kuchotwa akili nyie watu.

Pili, hii habari inamchafua Mungu kuliko kumjenga. Yani kwake kuua watu na kubomoa makazi ni jambo la maana kuliko kusave hivyo vijengo viwili? Nana akasali sasa hapo? Mzazi gani anaweza ua wanae na kuacha mji wa mmoja wao akidhani ni sifa. Mambo mengine hata kwa akili ya binadamu ni illogical ila mnaesema ni mungu muweza yote na mjua yote anashindwa kufanya reasoning ndogo tu. Smh
 
Miezi michache imepita Tetemeko -uturuki ,likaenda piga Morocco,jana Libya imepigwa na mafuriko watu 2000 wamekufa

Ni Mwendo wa Mapigo tu kwa Waarabu mpk wamrudie Mungu wa Kweli😇
Mungu yupi!?..yule aliyevizia kiza kinene akateremka toka mbinguni,yakobo alipokua anaenda chooni akamshutia,akazichapa nae mpaka Mungu akapakachuliwa paja!?
 
Anayetoa watu roho kila siku ni nani!?..naona umepanik Sana!
 
Anayetoa watu roho kila siku ni nani!?..naona umepanik Sana!

You tell me? Ni Mungu?

Wewe unaweza mtoa roho mwanao? Hamuoni it doesn't make no sense. Kwamba anawapenda sana then anawaua, wengine anawaua huku anaacha vijengo if at all hiyo habari ni ya kweli.
 
Shida ya Africa kaskazini nyumba zao si imara wanajenga ilimradi
Wanazipamba nje lakini uhalisia si nyumba
Hili janga litaikumba siku moja Zanzibar Bagamoyo
Mungu awafanyie wepesi kwa majanga haya
Earthquake Floods dah mwisho wa Ulimwengu au
 
You tell me? Ni Mungu?

Wewe unaweza mtoa roho mwanao? Hamuoni it doesn't make no sense. Kwamba anawapenda sana then anawaua, wengine anawaua huku anaacha vijengo if at all hiyo habari ni ya kweli.
Mwanao!?.. Mungu Hana mwana,wewe ndiyo unaona ukatili binaadam kufa,yeye haoni hivyo,we ulishawahi ones huruma sisimizi ulioua!?..achilia mbali ng'ombe na samaki unaowala supu!?
 
Umesahau Mungu huyu huyu aliweka mwanae peke msalabani na akafia kwenye huo msalaba ila hawezi kusamehe watu, kifo kwa watu baki sio issue kama aliweza kutesa his first born Yesu sembuse nyie Wamakonde!!!!!
 
kwahiyo unachotaka kusema kuwa misikiti haiwezi kubomolewa na tetemeko?hivi humo kichwani mmejaza kamasi?
 
Upumbavu huo mzee
 
Ndugu zangu akina mudi kwa ujinga huu Ibilisi atazidi kuwapepeta.
Kuna jengo imara zaidi ya huo msikiti limebebwa na tetemeko katika hicho kijiji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…