amejiuza south Africa mpaka wamemchoka huyo aliempamgishia nyumba huko Makongo sijui ana akili gani aisee....kiongozi mzima kumpangishia nyumba huyu ni kujidhalilisha tu
Kwa hiyo Vanesa hastaili hata kupangiwa chumba,hhaaa haha nmekumis miss chaggamkalio huo .... badala amjengee nyumba
hapana ansathili wanatakwa wajiongeza kupangiwa nyumba kubwa na mpenzi ni kuwa mtumwa tu ,, ila ukijengewa nyumba hata uzee ukija unakwako ha haha unafikiria atasukuma huo mkalio mpaka miaka 45 noo vinazaliwa zizuri zaidi yake haha ahKwa hiyo Vanesa hastaili hata kupangiwa chumba,hhaaa haha nmekumis miss chagga
Hugo ni Mcha PapuchiMshamba wa bara anasaliti ndoa Yake na kahaba mkubwa... Halafu anajiita mcha mungu!
Una maana makonda ndo anashikilia huo mzigo??hahahaha watu wakitaka kujinasua kwenye jambo fulani lazima kila sababu wata tafuta.
Makonda kawashika pabaya kila kona ni vilio na sababu ni Wema tuu......
Makonda shika papo hapo.....kelele nyingi tuuu.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wife akionyweshwa hiyo video ya Maso, na muziki wa 'moyo sukuma damu' unasikika kwa mbaali mwenyewe atakubali matokeo......sanasana atajikuta anauliza kwa unyonge 'mimi utaniacha?'
Lol, makubwa ...kwani huyo dada mwenyewe kwao ni wapi, sio bara!?Mshamba wa bara anasaliti ndoa Yake na kahaba mkubwa... Halafu anajiita mcha mungu!
Ajabu mm nawshangaa hivi kweli makonda ana nia ya dhati au jamani hamumjui watu waliomzunguka mbungwe mlingwa jana anasema ktk watu wa 5 waliomzunguka makonda wa 3 ndio vinara naamini magufuli anajua hilo naamini sio kipofu
Hadi sasa hivi nani hajasisikia,
Mpaka wakwe tayari wameinasa kwenye vishikwambi vyao...
Anaona raha kulitazama tyuuuuuuHuenda alipagawa na msambwanda.
alafu sijui ata unafaida gani!
na mimi nina wasiwasi na uanamke wakoNina walakini na uanaume wako.
na mimi nina wasiwasi na uanamke wako
YaaniJamani kichwa cha chini kinanguvu kuliko cha juu.