Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Jamaa wangu Rammy nae anasema ndio kampangishia duh cjui tushike lipi tuache lipi
 
Kwa hiyo Vanesa hastaili hata kupangiwa chumba,hhaaa haha nmekumis miss chagga
hapana ansathili wanatakwa wajiongeza kupangiwa nyumba kubwa na mpenzi ni kuwa mtumwa tu ,, ila ukijengewa nyumba hata uzee ukija unakwako ha haha unafikiria atasukuma huo mkalio mpaka miaka 45 noo vinazaliwa zizuri zaidi yake haha ah
 
hahahaha watu wakitaka kujinasua kwenye jambo fulani lazima kila sababu wata tafuta.
Makonda kawashika pabaya kila kona ni vilio na sababu ni Wema tuu......
Makonda shika papo hapo.....kelele nyingi tuuu.....
 
Halua haina makombo hiyo kitu hata iburuzwe vipi ukupiga mizuka ileile aloipata wa mwanzo itakuwa sawa na yako. Acha ipigwe tu na wenyenacho.
 
hahahaha watu wakitaka kujinasua kwenye jambo fulani lazima kila sababu wata tafuta.
Makonda kawashika pabaya kila kona ni vilio na sababu ni Wema tuu......
Makonda shika papo hapo.....kelele nyingi tuuu.....
Una maana makonda ndo anashikilia huo mzigo??
 
Wife akionyweshwa hiyo video ya Maso, na muziki wa 'moyo sukuma damu' unasikika kwa mbaali mwenyewe atakubali matokeo......sanasana atajikuta anauliza kwa unyonge 'mimi utaniacha?'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi hilo nalo titawekwa kwenye 'hansadi' za bunge au wataomba walioyasema 'wayaondoe'!? Bongo tambalale aisee.
Ajabu mm nawshangaa hivi kweli makonda ana nia ya dhati au jamani hamumjui watu waliomzunguka mbungwe mlingwa jana anasema ktk watu wa 5 waliomzunguka makonda wa 3 ndio vinara naamini magufuli anajua hilo naamini sio kipofu
Hadi sasa hivi nani hajasisikia,
Mpaka wakwe tayari wameinasa kwenye vishikwambi vyao...
 
Nimepitwa na hii habari... Ni kigogo gani huyo?
 
Back
Top Bottom