Candyscorpion
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 763
- 780
True bidada yaani wanasikitisha mno kwa chance walizonazo wanafurahia kupangiwa??[emoji57] [emoji57] [emoji57] Yaani me wabongo wakikutana na akili kubwaz mbona easy tu kutusua!![emoji4] [emoji4] [emoji4]mi hata sielewi wanafumuliwa tu,.. mi nadhani ningekuwa na nyumba za kutosha tu sababu ningekuwa napokea kodi kwenye nyumba yangu haah aaha
kabisa wanasahahu uzee unakuja huwezi kutikisha tena mkiaTrue bidada yaani wanasikitisha mno kwa chance walizonazo wanafurahia kupangiwa??[emoji57] [emoji57] [emoji57] Yaani me wabongo wakikutana na akili kubwaz mbona easy tu kutusua!![emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kama hyo agnes na wema mwakani tu wanagonga 30, mjini penywe hawana mishe za kueleweka afu wanapata madanga ya maana wanaacha kukomalia vtu vya maana kutwa kutudolishia misambwanda snap!!lke u say final uzeeni!!!kabisa wanasahahu uzee unakuja huwezi kutikisha tena mkia
yah watajuta ukiamua uza uza kwa faidaKama hyo agnes na wema mwakani tu wanagonga 30, mjini penywe hawana mishe za kueleweka afu wanapata madanga ya maana wanaacha kukomalia vtu vya maana kutwa kutudolishia misambwanda snap!!lke u say final uzeeni!!!
Mkuu hayo mengine hayanihusu,nimekupa like kwa hiyo sentensi yako ya mwisho,kulingana na uzoefu wangu.Kuongea vitu visivyo na ushahidi ni umasikini wa kifikra, haina tofauti na umbeyaa.
Watoto wa kiume mnakuwa wambeyaa kiasi hiki kuliko hata dada zenu..!? Ni hatari kwa Taifa.
Tunajua wauza madawa nao ni watu wenye uwezo hivyo lazima wamchafue Mh mkuu wetu wa Mkoa, napenda kumwambia, Watanzania Wanyonge tupo nyuma yake na Mungu atambariki kufikia lengo lake.
Hata kama kapanga nyumba makongo sio shida kwa sababu pengine kapanga ili apate taarifa na mtandao mzima wa mashetani yanayo tuletea madawa ya kulevya.
Watanzania tunatakiwa tuipe dola nafasi, kwa style hii tutawavunja nguvu watetezi wetu na Taifa kuhangamia kabisa na madawa ya kulevya.
NB kwa faida yenu, hakuna mwanamke anaejua kubembeleza mwanaume, kama mwanamke alie tumika sana na mwenye kilometa nyingi. Ukitaka kuenjoy barabara tafuta Gari lenye engine kubwa kama V8.
Mwache ale ujanaDada yetu Masogange akiwa analirusha mara kulia mara kushoto bila wasiwasi wa landlord
Mwache ale ujana[/QUOTE)
R.I.P
Kwahiyo saivi imeoza [emoji22]Hyo anatoa 0713 kiulaini,usiulize
Ova
HahahahaMheshimiwa anakula jicho hapo!Mi namuunga mkono,huwezi mfumua rinda mkeo so unatafuta kahaba la nje kwa shughuli hiyo!
Mmmmh RIPUongozi ni kazi kweli..
Hivi mke wa mpambanaji wetu, mungu wa dar akisikia tuhuma za huyu binti kupangiwa kajumba anapika kweli??