Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
- Thread starter
- #21
Kwan nisiwe na hamu ya ngono mm mgonjwa?Aanze kwanza kujinyoosha yeye na hamu yake ya kingono.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan nisiwe na hamu ya ngono mm mgonjwa?Aanze kwanza kujinyoosha yeye na hamu yake ya kingono.
Sasa una credibility gani ya kuwa mkosoaji wa kidini?Huoni huo ni unafiki?Kwan nisiwe na hamu ya ngono mm mgonjwa?
We binti nyamaza !!Mmemshindwa kwenye mada za dini mmeanza kuchanganya na mada za jukwaa la wakubwa, acheni usenge
Bwana mdogo za asubuhi!!Kwan nisiwe na hamu ya ngono mm mgonjwa?
Ma agent wa shetani wengi sana wanaranda humu ndani siku hiziAROON
JF-Expert Member, 23
AROON was last seen:Jan 3, 2017 at 8:36 AM
About
Birthday:Jan 11, 1993 (Age: 23)
Interact
Content:
Find all content by AROON
Find all threads by AROON
Conversation:Start a Conversation
Signature
YHWH IS GOOD ALL THE TIME !!
Yaani huo upupu aliokusanya kisa tu anajua ku_google ndio unaita great thinker !!Nahis jamaa anaonewa baada ya kushusha data ikatumika mbinu ya kushusha masuala yake ya huko nyuma.
Binafsi sioni ajabu sababu hata katika bible watu wengine waliotumwa na Mungu hapo kabla walikuwa si wasafi kiroho.
Ebu chukulia mtu kama Mtume Paulo alivyokuwa muujaji wa kutisha. Watu kama kina suleimani na wake kibao, Mfano mwingine ni yule mwanamke Malaya aliyesamehewa dhambi zake na Yesu eti kwa kuwa Nduguze wanafiki walitaka kumuua kwa dhambi za Uzinzi.
Je, na ninyi mnataka kuhudhirishia ulimwengu kwamba ni wanafiki!? Kwamba hamfanyi ngono!? Kwamba hamjawai tenda dhambi!? Kama jibu ni ndyo basi na muwe wa kwanza kumrushia mawe mleta mada hapa Jukwaani!!
Mwisho wa siku naelekea kukunaliana na hoja za jamaa maana naona anataka kushinda kwa fact ili kumzima anaibuliwa mambo yale wengine wanadai hawayafanyi. Huku ni kushindwa Vibaya. Kwa kifupi mnaonesha mngekuwa karibu na mleta mada mngeweza hata kumchoma visu au kumuangamiza kwa namna yoyote ile.
Wito wangu endeleeni kuleta hoja za kupinga hoja. Kuhusu mada husika. Huo ndio Ugreat thinker wenyewe.
Pia AARON ushauri wangu jitahidi uwe na uzi mmoja tu si kuanzisha uzi mpya kila siku utawafanya watu waseme una chuki na kanisa kumbe labda nia yako ni kuelimisha labda.
Tatizo la watoto wa siku hizi wanakimbilia kusoma biblia na vipeperushi vyao. Inabidi uisome biblia Kama darasa la kawaida kwanza. Dogo unajua who wrote bible? When? For whom? And for which purpose?. Umesoma criticisms za bible? Unazifahamu cultural background zilizoathiri bible?Kwa taarifa yako hata huyo Yahweh umemuandika kwenye id yako ni Mungu wa kipagani.Pitia kidogo hapoAROON
JF-Expert Member, 23
AROON was last seen:Jan 3, 2017 at 8:36 AM
About
Birthday:Jan 11, 1993 (Age: 23)
Interact
Content:
Find all content by AROON
Find all threads by AROON
Conversation:Start a Conversation
Signature
YHWH IS GOOD ALL THE TIME !!
Hongera sana mkuu Shimba ya Buyenze.Dogo ni denti na amenyweshwa sumu za Waadventista Wasabato zikamkolea sawasawa. Kuanzia mwaka mpya anapambana na Papa na Wakatoliki kwa nguvu zote. Maajabu hata hivyo ni kwamba kutokana na juhudi hizi ungetegemea kuwa yeye mwenyewe angekuwa anajitahidi kunyoosha maisha yake kwanza. Pengine anadhani kuwa, kama Wasabato wengi wanavyodhani, ile kusali tu siku ya Jumamosi na kushika sheria butu za Mafarisayo, basi moja kwa moja ni tiketi ya kwenda mbinguni. Nimepitia baadhi ya post zake na nimeshangaa sana. Kuhukumu ni kazi ya Mungu lakini angalau ningetemea kuona juhudi za kibinadamu kujaribu kuwa karibu na Mungu? Post zake nyingi zina ukakasi sana. Unafiki wa kutisha!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unachofanya ni character assassination kwa jamaa,, pambana nae kwa hoja sio kuleta post zake zilizopita.Dogo ni denti na amenyweshwa sumu za Waadventista Wasabato zikamkolea sawasawa. Kuanzia mwaka mpya anapambana na Papa na Wakatoliki kwa nguvu zote. Maajabu hata hivyo ni kwamba kutokana na juhudi hizi ungetegemea kuwa yeye mwenyewe angekuwa anajitahidi kunyoosha maisha yake kwanza. Pengine anadhani kuwa, kama Wasabato wengi wanavyodhani, ile kusali tu siku ya Jumamosi na kushika sheria butu za Mafarisayo, basi moja kwa moja ni tiketi ya kwenda mbinguni. Nimepitia baadhi ya post zake na nimeshangaa sana. Kuhukumu ni kazi ya Mungu lakini angalau ningetemea kuona juhudi za kibinadamu kujaribu kuwa karibu na Mungu? Post zake nyingi zina ukakasi sana. Unafiki wa kutisha!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu hata wewe si unaweza kujibu kwa kugoogle kama unadhani jamaa kafanya hivyo!? Mbona rahisi sana. Maswali yanayoletwa na facts za google yajibiwe na facts zinazotolewa google au nyingine ambazo ni bora kuliko hizoYaani huo upupu aliokusanya kisa tu anajua ku_google ndio unaita great thinker !!
Umeona wapi kama katoa reliable source of his arguments .
Nahisi Jf wamenunuliwa na FB.
Sina hakika kama ulinitageti mimi, ila mleta madaTatizo la watoto wa siku hizi wanakimbilia kusoma biblia na vipeperushi vyao. Inabidi uisome biblia Kama darasa la kawaida kwanza. Dogo unajua who wrote bible? When? For whom? And for which purpose?. Umesoma criticisms za bible? Unazifahamu cultural background zilizoathiri bible?Kwa taarifa yako hata huyo Yahweh umemuandika kwenye id yako ni Mungu wa kipagani.Pitia kidogo hapo
Yahweh - Wikipedia
Chukua muda wa kutosha jifunze hayo, soma Biblia Kama somo kabla hujaanza kusoma kilichomo.
Nimeanza kuwa na mashaka na malezi unayompa Tina, siyo kila source ya google ni ya kuaminika , aweke source sio porojo.Mkuu hata wewe si unaweza kujibu kwa kugoogle kama unadhani jamaa kafanya hivyo!? Mbona rahisi sana. Maswali yanayoletwa na facts za google yajibiwe na facts zinazotolewa google au nyingine ambazo ni bora kuliko hizo
Hongera sana mkuu Shimba ya Buyenze.
Umempiga huyu dogo forensic audit ya ukweli.
Anataka kutuzingua na kuhukumu wenzie kuwa ni mashetani kumbe yeye ndo shetani mkuu kabisa..
Hana uadilifu wa kidini, kiimani wala kijamiii.
Huyu Aaron ni wa kuchapa kabisa...
Kama wakristo waliouwawa na rumi walikuwa na akili kama za AROON et el, basi nitangaze rasmi kuwa rumi haina hatia.
Kwa hiyo sasa hivi Aaron ameokokaKwa suala la AROON kuwa zamani alikuwa hivyo mi sioni kuwa ni tatizo kwa sababu yeye sio MALAIKA.
Alipitia matamanio akiwa kama BINADAM aliyekamilika la sivyo hawezi kuwa BINADAM KAMILI.
Ameshajirudi na kujitambua sasa hivi kuwa yale ya nyuma natumai haendelei kuyafanya sasa yupo katika kuwaelimisha ambao wanaenda njia si sahihi. Hili ni jambo jema kabisa.
Sidhani kama ntaona mtu ana akili sawasawa eti kwa kumdhihaki AROON kupitia makosa yake ya nyuma ambayo natumai ameshaachana nayo na kuacha kumshangaa MCHUNGAJI ambae bado anakunywa KONYAGI na huku akiendelea kuchunga kondoo wa bwana na mikondoo ikiendelea kumskiliza na kumfata huku imeinamisha vichwa chini.
Mi naona AROON yuko sahihi kabisa kwa sasa coz makosa yake ya nyuma ambayo natumai amejitambua na kujisafisha na kuzaliwa akawa MSAFI KABISA. Makosa yake ya nyuma hayazuii hizi mada anazoweka hapa kupokelewa na watu na kuzisoma.
Watu watazipokea na kuendelea kubaini machafu yote yanayofanywa na hao wanayoyafanya.
Safi kabisa mkuu AROON kwa kufanya kazi ya MUNGU kwa kufichua maovu yao. MUNGU AKUTIE NGUVU NA AKUTANGULIE, AKULINDE DHIDI YA JICHO LIKUTAZAMALO VIBAYA.
BWANA YUNAWE MKUU. VYEMA KABISA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu dogo hatariDogo ni denti na amenyweshwa sumu za Waadventista Wasabato zikamkolea sawasawa. Kuanzia mwaka mpya anapambana na Papa na Wakatoliki kwa nguvu zote. Maajabu hata hivyo ni kwamba kutokana na juhudi hizi ungetegemea kuwa yeye mwenyewe angekuwa anajitahidi kunyoosha maisha yake kwanza. Pengine anadhani kuwa, kama Wasabato wengi wanavyodhani, ile kusali tu siku ya Jumamosi na kushika sheria butu za Mafarisayo, basi moja kwa moja ni tiketi ya kwenda mbinguni. Nimepitia baadhi ya post zake na nimeshangaa sana. Kuhukumu ni kazi ya Mungu lakini angalau ningetemea kuona juhudi za kibinadamu kujaribu kuwa karibu na Mungu? Post zake nyingi zina ukakasi sana. Unafiki wa kutisha!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()