Good
AROON toa somo kwa wenye kutaka kuelewa wataelewa
wewe mwanafunzi
ivi vipolo hapa chini mwalimu wako hajaleta majibu mpaka leo
msaidie mwali wako kujibu ivo vipolo
SWALI: nini maana ya
KUABUDU,
naomba
mambo 7 tu ambayo yakifanywa mtu juu ya kitu fulani huonesha kuwa mtu huyo
ANAKIBUDU ICHO KITU (yamo ndani ya hiyo biblia yako, unayojidai kuwa unautalamu nayo) ??????????????????????????
SWALI: ukisoma Kumb. 20:3 – 5, mungu amekatazwa kuchonga sanamu
ila Mungu huyo huyo aliyewakataza Waisraeli kuchonga sanamu, mbele kidogo anamwagiza Musa huyo huyo kuchonga sanamu ya makerubi katika sanduku la Agano (makerubi ni vitu vya mbinguni) ( Kumb. 25:18 – 20, Ebr. 9:5). Hapa Mungu ameonekana kutengua kile ambacho alisema pale mwanzoni kuwa wasichonge sanamu yoyote...........
NAOMBA MAELEZO ????????????
SWALI: Kama haitoshi, ukienda mbele kidogo ya kitabu hicho cha Kumbukumbu la Torati Mungua anafanya mchezo wa hatari zaidi wa kumwambia Musa achonge nyoka wa shaba (kitu cha duniani) na kumweka kwenye mti na kila amtazamaye angepona. (Hes. 21: 8-9, Yoh. 3:14 – 15)...............
NAOMBA MAELEZO ????????????
SWALI: picha/sanamu ambazo umetundika hapo ndani kwako au izo zilizo ndani ya simu yako au ambazo huwa unapiga kwenye masherehe NI ZA NINI ? (wakati biblia yenyewe inakataza hata kuzichonga/kuzitengeneza)
AU
IZO PICHA ZA MCHUMBA WAKO/ MKE WAKO / RAFIKI/ NDUGU WA KARIBU AMBAZO HUWA UNAZIBUSUBUSU ZENYEWE SI SANAMU ???
NAOMBA MAELEZO...............................
SWALI: picha mlizotundika kwenye kuta za hapo kanisani kwenu unakosalia ni za nini (wakati biblia yenyewe inakataza hata kuzichonga/kuzitengeneza) ???????
mmedai kuwa wakatoliki wamenyofoa amri ya pili na kuiweka kando
Nanukuu (kutoka 20:3-5)
3“Usiwe na miungu mingine ila mimi. 4“Usijifanyie sanamu ya kuchonga katika umbo la kitu cho chote kilicho juu mbinguni au duniani chini au ndani ya maji. 5Usivisujudie au kuviabudu”
SWALI : naomba tofauti ya kimaana au ya neno kwa neno ya hiyo aya ya tatu(AMRI YA KWANZA) na iyo aya ya nne (AMRI YA PILI, UNAYODAI TUMEINYOFOA)???????????
SWALI: Naomba unieleze/unipe sababu ni kwanini Yule kijana myahudi alimuuliza yesu kuwa AMRI ILIYO KUU IPI ???????????????
SWALI: naomba unieleze ni kwa nini yesu alipoulizwa kuhusu amri za mungu, yeye hakuanza kama unavodai wewe ila alianza kutaja kwa kuanzia na amri ya tano, au mfululizo(arrangement) unaoudai wewe hakuwa anaujua naomba maelezo ????????
NA UKIKOSA MAJIBU USIRUDI