Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,060
We became what we think most, our inner world realised by outer world, hivyo basi haya ni matokeo ya kile tunachokiwaza zaidi watanzania, nani mwenye uhakika kuwa dini au dhehebu lake ni sahihi, kwa udhibitisho upi aliofanya? dini zote na madhehebu yote yanatoka kwao mbaya zaidi na material yote yanatoka kwao, tuna uhakika kiasi gani kama hawadanganyi ni ukweli wanachotupa ni ukweli au tupo bize kumeza sumu zao na kujiona tupo karibu na Mungu na kuwaona wengine wamepotoka? Amka Afrika, tuwe bize kujenga sio criticise hazisaidii, duniani hakuna mtu aliyeendelea katika jambo lolote lile kwa kumpinga au kuonyesha mabaya ya mwengine.. Toka ulipo. Waza tofauti Tanzania inatuitaji.
Mpita njia na Porojo za mtaani
Mpita njia na Porojo za mtaani