Kijue chombo maalumu Inkwizisheni (Inquisition) cha kutesa

Kijue chombo maalumu Inkwizisheni (Inquisition) cha kutesa

Wafarisayo katika ubora wenu.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
AROON
JF-Expert Member, 23
AROON was last seen:Jan 3, 2017 at 8:36 AM
About
Birthday:Jan 11, 1993 (Age: 23)
Interact
Content:
Find all content by AROON
Find all threads by AROON
Conversation:Start a Conversation
Signature
YHWH IS GOOD ALL THE TIME !!
Shahidi wa yehova!
 
Acha kubwabwaja

Wote hao hakuna aliyeua weng kama RC

Rc imeua zaid ya watu mil 100 unalijua hilo au unabwabwaja tu

YHWH IS GOOD
Ushahidi uko wapi?

Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you
 
Samahani lakini, hivi Harmagedoni ilishaanza tayari? Au bhado?!
 
Sema waliokuwa wanahoji Ukatoliki kama Martin Luther waliteswa na kuuawa.
Hujaona hapo namna walivyokuwa kinyume na Waprotestant na wasomaji wa Biblia?
Chombo maana yake siyo karai ama kikapu. Ni idaraaau muundo.

Hakikuwa chombo bana,ile ni hali iliyopitiwa kipindi hicho wasio wakristo waliteswa na kuuawa sana
 
Sema waliokuwa wanahoji Ukatoliki kama Martin Luther waliteswa na kuuawa.
Hujaona hapo namna walivyokuwa kinyume na Waprotestant na wasomaji wa Biblia?
Chombo maana yake siyo karai ama kikapu. Ni idaraaau muundo.
Dah! kwahiyo hicho chombo cha kutesea kipo mpaka leo au kimeshavunjika!! 😀😀
 
Umejibiwa huelewi
wewe nishaga kwambiia kuwa sitakujibu chochote, wala sina mjadala wa kimantiki na kihoja na wewe, nishagundua huo uwezo huna

ila siku akili zikikukaa sawa UNITAG
hapo ndo nitafungua jarada rasmi la mijadala na wewe

otherwise tafuta wa size yako.............................
 
Mwenzako jana Dumelang alikimbia uchi..
Nilimwambia anisaidie kutambua hawa ni Wasabato gani...

Wakati wewe unaendelea kuharisha huku..wenzako wameshaanza kusali Jumapili

Sasa hebu tetea jumamosi yako
The Huntsville First Seventh-day Adventist Church in Huntsville, Alabama will begin offering a Sunday morning service called "Surge Church" this weekend. Billed as a casual, come-as-you-are worship service, the 10:00am event aims to attract "unchurched" community members, according to an article in AL.com, an Alabama-based media outlet. First Church senior pastor Debleaire K. Snell told AL that the congregation communicated their intent to South Central Conference leadership, who allowed the service to proceed.

"We have communicated to the Conference office because they wanted clarity on this, but once we communicated the purpose to them, they saw that it is not a big deal," Snell said, according to AL's report.

The article went on to note Snell's insistence that the new contemporary service would not supplant Saturday worship services at First Church, but would supplement them. The service will target non-members who may feel more comfortable with the idea of Sunday services as practiced in most Christian denominations. The service will be offered for the first time this Sunday, February 8.

The Huntsville First Church is less than two miles from the campus of Oakwood University, and all three of its pastors are Oakwood graduates.

According to the First Church website, Snell, a Florida native, graduated with a B.A. in theology from Oakwood in 1999, and graduated with his M.Div. from Andrews University in 2001. In the four years Snell has served as First Church senior pastor, the congregation has seen rapid growth. Snell has twice been named South Central Conference Pastor of the Year.

Alfonzo Green, pastor for Discipleship and Administration also received an M.Div. from Andrews, and is currently pursuing a D.Min. degree in Missional Leadership.

Alfred Hill, pastor for Visitation and Pastoral Care, served in several districts in Mississippi and Alabama before joining the Huntsville First Church staff.

Snell expects some current members to attend the new "Surge" Sunday service. According to the AL report,

Snell said that many of his members have said they're likely to come on Sunday even after attending the Saturday, 11:30 a.m., service. The Sunday service, he said, would be a bit shorter, more informal and more focused on teaching than the Saturday service.

But in case there was doubt about the congregation's beliefs about the Sabbath, the church's website spells them out. The church's statement of beliefs includes a paragraph entitled "Jesus' Day" that states,

JESUS' DAY comes each week on the seventh day (Saturday). He called Himself Lord of this day and He faithfully observed each Sabbath. Because He initiated it during creation week (before the entrance of sin), Jesus desired that all of His people would keep this day as a memorial to His creative power. He also reminded us that His Sabbath is a sign of His power to deliver us. It is, indeed, the Lord's Day. This weekly Sabbath is a foreshadowing of the rest Jesus will one day give His people in Heaven! Mark 2:27-28; Colossians 1:15-17;Genesis 2:1-3; Hebrews 4:1-11

Still, that did not seem to appease many concerned commenters on the AL.com article, who clearly considered holding services on Sunday anathema.

One commenter called Shaz said, "As an ex-Muslim who became a Seventh-day Adventist I have kept, to the best of my ability, the Sabbath of the Lord, not always perfectly, but always intent on it, and I want to add the Sabbath of the Lord is NOT Sunday!"

Another respondent, Rudy Butler, had stronger words still:

Wrong choice! A Seventh-day Adventist Church should not have the formal worship service on Sunday. Here are the reasons: Sabbath worship is one of the identifying marks of the Seventh-day Adventist Church. That day sets Seventh-day Adventists aside from all the other protestant churches. Having Sunday worship will confuse the world about who Seventh-day Adventists are.
ukistaajabu ya musa utayaona ya ................................

CHA MWANADAMU KITAKUFA TU, CHA MUNGU LAZIMA KIONEKANE JUU,
si maneno yangu hayo ni ya bahati bukuku........................

umenikumbusha adithi ya GAMALIELI (mwandishi na mwalimu wa sheria wa kiyahudi)........

usishangae ukaambiwa kuwa, huo ulikuwa ni utabiri wa ELLEN G WHITE kuwa itafika hatua kuanzia na marekani watu wote watalazimishwa kusali jumapili..........

na usishangae ukaambiwa kuwa hiyo ndo chapatya mnyama wa ufunuo na kila mmoja atalazimika kupigwa chapa hiyo.............................
 
“Tupende au tusipende, tuwe tayari au tusiwe tayari,
sisi sote tunaingizwa katika mashindano kamili
ya aina tatu ya ulimwengu huu, ambayo hayana
kizuizi cho chote kilichowekwa. Hata hivyo,
wengi sana miongoni mwetu si washindani. Sisi
ni mambo tu zilizopigiliwa njiani. Kwa maana
shindano hilo ni juu ya nani atakayeuanzisha
mfumo wa kwanza wa serikali ya ulimwengu mzima
ambayo haijapata kuwako kamwe katika jamii hii ya
mataifa … Shindano hilo ni la kufa na kupona kwa
sababu, kwa vile sasa limeanza, basi, hakuna njia yo
yote inayoweza kuligeuza au kulisimamisha.”
Malachi Martin, Mjesuti, azijuaye siri za ndani zaVatikani,
Keys of This Blood, uk. 15.

YHWH IS GOOD
 
Acha kubwabwaja

Wote hao hakuna aliyeua weng kama RC

Rc imeua zaid ya watu mil 100 unalijua hilo au unabwabwaja tu

YHWH IS GOOD
Nimetambua upeo wako wa kutafakari/kuchambua hoja za mambo, kubishano na wewe ni kupoteza muda.
Nikuache kwa hoja hii; kwa sasa kati ya hao nani anaua zaidi, na muda wa mbeleni unajua nani ataua zaidi, tafakari ukizingatia kuna vita ya dunia ya 3 imetabiliwa kwenye bible!!!
 
We became what we think most, our inner world realised by outer world, hivyo basi haya ni matokeo ya kile tunachokiwaza zaidi watanzania, nani mwenye uhakika kuwa dini au dhehebu lake ni sahihi, kwa udhibitisho upi aliofanya? dini zote na madhehebu yote yanatoka kwao mbaya zaidi na material yote yanatoka kwao, tuna uhakika kiasi gani kama hawadanganyi ni ukweli wanachotupa ni ukweli au tupo bize kumeza sumu zao na kujiona tupo karibu na Mungu na kuwaona wengine wamepotoka? Amka Afrika, tuwe bize kujenga sio criticise hazisaidii, duniani hakuna mtu aliyeendelea katika jambo lolote lile kwa kumpinga au kuonyesha mabaya ya mwengine.. Toka ulipo. Waza tofauti Tanzania inatuitaji.

Mpita njia na Porojo za mtaani
Mkuu salute kwako!!....

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
FACTS
Dini zote zimeua watu wakati wa kuenezwa kwake
Kuanzia uyahudi..ukristo hadi Uislam na hakuna chochote mtu atajustify mauaji hayo
All in all Mungu yupo ila hizi dini zote haijalishi uko dhehebu gani jua ni magumashi tu maana zimeletwa na wanadamu na ndio maana zina makasoro kibao na kila siku wanabadili hiki wanaweka hiki
Cha Mungu hakika kasoro.
Tenda Mema(huitaji dini kufanya haya).
Sasa nyie fieni hizo dini na madhehebu as if Yesu alishajinasibu kwamba yeye ni dhehebu lenu
"Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa"

Post sent using JamiiForums mobile app
 
RC NDIO MAMA WA LAANA DUNIANI

ISAYA 24:4-6 Dunia inaomboleza,
inazimia; ulimwengu unadhoofika,
unazimia; watu wakuu wa dunia
wanadhoofika. Tena dunia imetiwa
unajisi kwa watu wanaoikaa; kwa
maana wameziasi sheria,
wameibadili amri, wamelivunja
agano la milele. Ndiyo sababu laana
imeila dunia hii, na hao wanaoikaa
wameonekana kuwa na hatia, ndiyo
sababu watu wanaoikaa dunia
wameteketea, watu waliosalia
wakawa wachache tu.
SABABU YA KWANZA –WAMEZIASI
SHERIA ZA MUNGU
KATIKA KIPENGELE HIKI TUTATUMIA
USHAHIDI WA BIBLIA NA, KITABU
CHA KATEKISIMU NDOGO YA
KANISA KATOLIKI UK 56, ILI
KUDHIBITISHA;
A. Amri kumi katika biblia KUTOKA
20:1-17 na Amri kumi katika
katekisimu ndogo ya kanisa katoliki;
I. AMRI YA KWANZA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:1-3
Mimi ni Bwana, Mungu wako,
niliyekutoa katika nchi ya Misri,
katika nyumba ya utumwa.Usiwe na
miungu mingine ila mimi
AMRI YA KWANZA KATIKA
KATEKISIMU
Ndimi Bwana Mungu wako,
usiabudu miungu wengine
II. AMRI YA PILI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:4-6
Usijifanyie sanamu ya kuchonga,
wala mfano wa kitu cho chote
kilicho juu mbinguni, wala kilicho
chini duniani, wala kilicho majini
chini ya dunia.Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana,
Mungu wako, ni Mungu mwenye
wivu; nawapatiliza wana maovu ya
baba zao, hata kizazi cha tatu na
cha nne cha wanichukiao, nami
nawarehemu maelfu elfu
wanipendao, na kuzishika amri
zangu
AMRI YA PILI KATIKA KATEKISIMU
Usilitaje bure jina la Mungu wako
III. AMRI YA TATU KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:7
Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu
wako, maana Bwana hatamhesabia
kuwa hana hatia mtu alitajaye jina
lake Bure
AMRI YA TATU KATIKA KATEKISIMU
Shika kitakatifu siku ya Mungu
IV. AMRI YA NNE KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:8-11
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Siku sita fanya kazi, utende mambo
yako yote; lakini siku ya saba ni
Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku
hiyo usifanye kazi yo yote, wewe,
wala mwana wako, wala binti yako,
wala mtumwa wako, wala mjakazi
wako, wala mnyama wako wa
kufuga, wala mgeni aliye ndani ya
malango yako. Maana, kwa siku sita
Bwana alifanya mbingu, na nchi, na
bahari, na vyote vilivyomo,
akastarehe siku ya saba; kwa hiyo
Bwana akaibarikia siku ya Sabato
akaitakasa.
AMRI YA NNE KATIKA KATEKISIMU
Waheshimu Baba na Mama, upate
miaka mingi na heri Duniani
V. AMRI YA TANO KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:12
Waheshimu baba yako na mama
yako; siku zako zipate kuwa nyingi
katika nchi upewayo na Bwana,
Mungu wako.
AMRI YA TANO KATIKA KATEKISIMU-
Usiue
VI. AMRI YA SITA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:13
Usiue.
AMRI YA SITA KATIKA KATEKISIMU
Usizini
VII. AMRI YA SABA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:14
Usizini
AMRI YA SABA KATIKA KATEKISIMU-
Usiibe
VIII. AMRI YA NANE KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:15
Usiibe
AMRI YA NANE KATIKA KATEKISIMU
Usiseme uongo
IX. AMRI YA TISA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:16
Usimshuhudie jirani yako uongo
AMRI YA TISA KATIKA KATEKISIMU
Usitamani mwanamke asiye mke
wako
X. AMRI YA KUMI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:17
Usiitamani nyumba ya jirani yako,
usimtamani mke wa jirani yako; wala
mtumwa wake, wala mjakazi wake,
wala ng'ombe wake, wala punda
wake, wala cho chote alicho nacho
jirani yako
AMRI YA KUMI KATIKA KATEKISIMU
Usitamani mali ya mtu mwingine
MAELEZO MAFUPI
Angalia hizo amri utaona ujanja
uliofanyika amri ya pili imeondolewa
kabisa kwa mjibu wa biblia na amri
ya kumi imegawanywa zikawa mbili
ilikusudi ijaze nafasi ya amri
iliyoondolewa ilimradi tu ziwe kumi

YHWH IS GOOD
 
f88015ec9d1dfec794e6cd53a9c25642.jpg
 
Back
Top Bottom