Kijue chombo maalumu Inkwizisheni (Inquisition) cha kutesa

We became what we think most, our inner world realised by outer world, hivyo basi haya ni matokeo ya kile tunachokiwaza zaidi watanzania, nani mwenye uhakika kuwa dini au dhehebu lake ni sahihi, kwa udhibitisho upi aliofanya? dini zote na madhehebu yote yanatoka kwao mbaya zaidi na material yote yanatoka kwao, tuna uhakika kiasi gani kama hawadanganyi ni ukweli wanachotupa ni ukweli au tupo bize kumeza sumu zao na kujiona tupo karibu na Mungu na kuwaona wengine wamepotoka? Amka Afrika, tuwe bize kujenga sio criticise hazisaidii, duniani hakuna mtu aliyeendelea katika jambo lolote lile kwa kumpinga au kuonyesha mabaya ya mwengine.. Toka ulipo. Waza tofauti Tanzania inatuitaji.

Mpita njia na Porojo za mtaani
 
Kama hata Mtume Paulo hakuwa msafi kiroho basi Papa hana hatia wala katoliliki pia.
discussion closed.
 
Kwa hiyo sasa hivi Aaron ameokoka

Ndio hayahaya yanayoongelewa kia siku lakini kwa kuwa akili za watu wengine ni fupi kama maisha funza wengi wao ni wagumu kuelewa kwa kweli.

Iwe ameokoka iwe hajaokoka wewe unachotakiwa ni kutoa kwa boliti kwenye jicho lako kabla ya kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Ama kweli. Kazi kweli kweli.
 
KIOO kwa kinyamwezi ni [HASHTAG]#shilole[/HASHTAG]!! Au ndio wewe mkuu!!

Kumbe ni kwa kinyamwezi. Basi vyema.

Mada imewekwa ili mjibu mada kwa hoja unaleta habari za shilole hapa ili kuamini tu kuwa lengo kuu lisionekane, la hasha.

Usiwe kama nyani kwa kuamini kuwa ukijiziba uso basi na wengine hawakuoni eti tu kwa kuwa wee huwaoni eti umejiziba macho.

Usiwe na akili kama nyani kwa kushindwa kuliona kundulo mkuu.

Ni hatari sana kiongozi.
 
afadhari watoto wako wachukue akili za baba yao, wakirithi hizo zako, Tanzania ya viwanda tutaisubiri sana!!
 
afadhari watoto wako wachukue akili za baba yao, wakirithi hizo zako, Tanzania ya viwanda tutaisubiri sana!!

Usibabaishe kwa kujiziba macho mkuu wee sio nyani.
 
Unachofanya ni character assassination kwa jamaa,, pambana nae kwa hoja sio kuleta post zake zilizopita.
Siyo kweli. Anahangaika na mambo ya kiroho. Nilitegemea kuona kuwa yeye pengine ametuzidi sisi watenda dhambi. Kumbe naye ni majiganyanza. Huwa sipendi watu wanafiki hasa kwenye mambo ya kiroho. Siyo mchungaji anapayuka mimbarini halafu akitoka hapo anakwenda kufanya kinyume chake. Ingekuwa ni mada ya kisiasa wala nisingekuwa na tatizo naye. Niliona ukakasi sana nilipoona posts zake hizi za juzi juzi tu hapa na nikashindwa kuvumilia. Sorry !!!
 
Mmeshindwa kwa hoja mnaanza kufukunyua nyuzi za MMU NA JUKWAA LA WAKUBWA kule watu wanapost kupoteza stress na kuburudisha , KAMA NYINYI WANAUME PAMVANENI NA AROON, KWA HII MADA
Sawa helen G white wa bongo
 
Kwan nisiwe na hamu ya ngono mm mgonjwa?
Naona hata avatar umebadilisha. Umeondoa picha ya Mh. Lowassa na kuweka hii ya timu ya mpira. Pengine imekusaidia lakini ingekuwa ni bora zaidi kama ungebadilisha avatar yako ya kiroho ili uwe na moral authority ya kukosoa wengine. Vinginevyo utaendelea kuwa mnafiki tu !
 
Aisee una kazi sana , unanipangia avatar ?

Mimi nitawanyoosha tu
 
Aisee una kazi sana , unanipangia avatar ?

Mimi nitawanyoosha tu
Soma vizuri uone avatar ninayoizungumzia. Unafiki wako uko wazi sasa na umeshapoteza credibility. Nobody will take you seriously no more. Huna moral authority ya kumnyoosha ye yote. Hasa hasa utageuka na kuwa case study ya unafiki wa nyie wafia dini.

Nyoosha kwanza maisha yako ya kiroho na uachane na hii misplaced belief kwamba kwa vile unasali Jumamosi na kushika hii misheria ya Kifarisayo basi mbingu ni yako na wengine wote wamepotea.

Nadhani nimeshamalizana nawe and I am out. Kazania masomo yako; na Mungu Akusaidie na kukuonyesha njia. Ubarikiwe!!!
 
Dah hapo umemwacha uchi kabisa. Kila mtu amemjua ni mtoto wa aina gani. Afu cha kushangaza hao watu alio wa mention wanaheshima zao. Yeye analeta utoto. Isembo la warumu Aroon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…