Kijue kifungu hiki muhimu cha sheria kinachohusu uhaini 39-2(d)

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
The intimidation, of the Executive, the Legislature or the
Judiciary of the United 'Republic, and manifests such intention by publishing any writing or printing
or by any overt act or deed whatsoever shall be guilty of treason and shall be liable on conviction to suffer death.

CC: Pascal Mayalla
 
Kwa kiswahili? Tumesoma kayumba
 
Yaani hata kuitishia mahakama ni uhaini
 
The intimidation, of the Executive, the Legislature or the
Judiciary of the United 'Republic, and manifests such intention by publishing any writing or printing
or by any overt act or deed whatsoever shall be guilty of treason and shall be liable on conviction to suffer death.

CC: Pascal Mayalla
What constitutes intimidation?
 
The intimidation, of the Executive, the Legislature or the
Judiciary of the United 'Republic, and manifests such intention by publishing any writing or printing
or by any overt act or deed whatsoever shall be guilty of treason and shall be liable on conviction to suffer death.

CC: Pascal Mayalla

Kwa Kiingereza:

The intimidation, of the Executive, the Legislature or the Judiciary of the United 'Republic, and manifests such intention by publishing any writing or printing or by any overt act or deed whatsoever shall be guilty of treason and shall be liable on conviction to suffer death.

Kwa Kiswahili:

Kufanya vitisho dhidi ya Serikali, Bunge au Mahakama ya Tanzania kwa kuonyesha dhamira hiyo ama kwa kuchapisha andiko lolote, au kufanya kitendo kingine chochote cha vitisho bayana atakuwa na hatia ya uhaini na atahukumiwa adhabu ya kifo kama hatia ikithibitika.

Kwa kutumia kizio hiki cha kifungu cha 39(2)(d) ni wazi kuwa hata kusema kuwa sitaipigia kura serikali ya chama tawala ni uhaini!

Sikuwahi kufikiri kuwa Tanzania inaweza kuwa na DPP ambaye viwango vyake vya kufikiri, kuhukumu na kutenda ni vya daraja hili.
 
Hio ni hofu ya kupoteza madaraka hakuna cha uhaini wala ushuzi wa uhaini.Badala ya kushindana kwa hoja au demokrasia huru, wanatumia vyombo vya dola kuwatisha au kuondoa wapinzani kwa njia ya mashtaka mazito kama uhaini.
Na hapo huanza kutumia sheria kama Silaha ya Kisiasa , Lawfare

Mwaka 2005, baada ya kutangaza kugombea urais dhidi ya Museveni, Besigye alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini na ugaidi.
Lengo la serikali likiwa kudhoofisha kampeni zake, kumtia hofu yeye na wafuasi wake.

Morgan Tsvangirai, kiongozi wa upinzani kutoka MDC dhidi ya Robert Mugabe, 2002, alishtakiwa kwa kosa la kupanga kumuua Rais Mugabe , kitendo kinachoweza kuhesabiwa kama uhaini, lengo la serikali likiwa kuzuia nguvu ya MDC wakati wa uchaguzi.
Tsvangirai alishinda kesi, lakini mashtaka yalimharibia jina kisiasa kwa muda.

Mifano ni mingi... kiukweli ni aibu..
 
The intimidation, of the Executive, the Legislature or the
Judiciary of the United 'Republic, and manifests such intention by publishing any writing or printing
or by any overt act or deed whatsoever shall be guilty of treason and shall be liable on conviction to suffer death.

CC: Pascal Mayalla
What is intimidation and what is merely truth that need to be said ?

And how do you tell the two apart?
 
The judges have this wisdom of telling the difference between smoke,fogg and clouds
 
In a system of rule of law, not rule of the judge, this should be very well defined.

That is the whole point of having laws.
 
Rule of law vs Judge rulling.
Why do you want to strip off the judge ability and mandate to interprate the law?
 
Nchi hii ikifuata utawala wa sheria kama chadema wanavyotaka, chadema wote wataishia magereza
nchi ina Sheria kali sana ukimpata hardcore wa kuzitumia kuna watu wangesaga meno
 
Hio ni hofu ya kupoteza madaraka hakuna cha uhaini wala ushuzi wa uhaini.Badala ya kushindana kwa hoja au demokrasia huru, wanatumia vyombo vya dola kuwatisha au kuondoa wapinzani kwa njia ya mashtaka mazito kama uhaini.
Na hapo huanza kutumia sheria kama Silaha ya Kisiasa , Lawfare

Mwaka 2005, baada ya kutangaza kugombea urais dhidi ya Museveni, Besigye alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini na ugaidi.
Lengo la serikali likiwa kudhoofisha kampeni zake, kumtia hofu yeye na wafuasi wake.

Morgan Tsvangirai, kiongozi wa upinzani kutoka MDC dhidi ya Robert Mugabe, 2002, alishtakiwa kwa kosa la kupanga kumuua Rais Mugabe , kitendo kinachoweza kuhesabiwa kama uhaini, lengo la serikali likiwa kuzuia nguvu ya MDC wakati wa uchaguzi.
Tsvangirai alishinda kesi, lakini mashtaka yalimharibia jina kisiasa kwa muda.

Mifano ni mingi... kiukweli ni

Jikite kwenye kifungu tajwa usituletee porojo za bbc
 
Rule of law vs Judge rulling.
Why do you want to strip off the judge ability and mandate to interprate the law?

I merely want to reduce vague words and concepts as much as possible.

Because a law that is overly open to interpretation is a law that is overly open to manipulation and arbitrary ruling.
 
Kwa Kiingereza:

The intimidation, of the Executive, the Legislature or the Judiciary of the United 'Republic, and manifests such intention by publishing any writing or printing
or by any overt act or deed whatsoever shall be guilty of treason and shall be liable on conviction to suffer death.

Kwa Kiswahili:

Kufanya vitisho dhidi ya Serikali, Bunge au Mahakama ya Tanzania kwa kuonyesha dhamira hiyo ama kwa kuchapisha andiko lolote, au kufanya kitendo kingine chochote cha vitisho bayana atakuwa na hatia ya uhaini na atahukumiwa adhabu ya kifo kama hatia ikithibitika.

Kwa kutumia kizio hiki cha kifungu cha 39(2)(d) ni wazi kuwa hata kusema kuwa sitaipigia kura serikali ya chama tawala ni uhaini!

Sikuwahi kufikiri kuwa Tanzania inaweza kuwa na DPP ambaye viwango vyake vya kufikiri, kuhukumu na kutenda ni vya daraja hili.
mkuu

serikali hupigiwa kura au vyama
 
mkuu

serikali hupigiwa kura au vyama

Zingatia haya:
  1. Serikali ni kikundi cha watu wanaoteuliwa na watu waliochaguliwa.
  2. Hivyo, kwa kumchagua mtu fulani unachagua na wale atakaowateua, utake usitake.
  3. Ni kama ambavyo ukimchagua mke unakuwa umewachagua watoto atakaowazaa pia. Kama kwao wana vinasaba vya makengeza unakuwa unevichagua pia.
  4. Hivyo, ukimchagua mgombea urais wa CCM pia umechagua serikali ya CCM atakayoiunda.
 
Back
Top Bottom