Kwa Kiingereza:
The intimidation, of the Executive, the Legislature or the Judiciary of the United 'Republic, and manifests such intention by publishing any writing or printing
or by any overt act or deed whatsoever shall be guilty of treason and shall be liable on conviction to suffer death.
Kwa Kiswahili:
Kufanya vitisho dhidi ya Serikali, Bunge au Mahakama ya Tanzania kwa kuonyesha dhamira hiyo ama kwa kuchapisha andiko lolote, au kufanya kitendo kingine chochote cha vitisho bayana atakuwa na hatia ya uhaini na atahukumiwa adhabu ya kifo kama hatia ikithibitika.
Kwa kutumia kizio hiki cha kifungu cha 39(2)(d) ni wazi kuwa hata kusema kuwa sitaipigia kura serikali ya chama tawala ni uhaini!
Sikuwahi kufikiri kuwa Tanzania inaweza kuwa na DPP ambaye viwango vyake vya kufikiri, kuhukumu na kutenda ni vya daraja hili.