Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Anakashifu dini za wengine kutumia mgongo wa upadri. Huyu ni Muslam halisi, hajui chochote kuhusu Ukatoliki. Ndo hizi mnasikia akili ndogo kushindana na akili kubwa.

Sent from my HTC Desire 501 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Unapopata daraja la upadrisho ! Nani mwenye uwezo wa kukusitishia daraja hilo.
2-ulisomea wapi? Upadre wako?
3-hapo itigi ulikuwa kama nani?
4-mshahara was padri tsh ngapi?


Asante kwa maswali mazuri bwana mdogo lufungulo k

1. Jopo la maaskofu, kulingana na ngazi na katekisimu na dhehebu husika.
Sijui kama unatambua kuwa hata ndani ya RC kuna madhehebu zaidi ya 7!!!
Tembea duniani ujifunze kijana.

2. Upadri nimeanza kuusoma tangu nikiwa 15 years old pale Itaga seminary Tabora.
Upadri wenyewe hasa nimekuja kuhitimishia jijini Amsterdam Uholanzi. Google sentensi hii "Amsterdam House of Evangelists Allumni 2008"

3. Pale Itigi nilikua kama Padri wa Parokia ya Mt. Magdalena.

4. Salary.... Mshahara...
Sijawahi kupokea mshahara, kila kitu nilikua nalipiwa na kanisa. Mavazi, chakula, makazi, matibabu, usafiri. Kifupi niliishi kwa sadaka za wakristo na pesa za kutoka Roma
 
Walikusomesha kwa mamilioni kama ulivyodai bila shaka hata vitu vya gharama mfano Nyumba au Gari pengine ulipewa..Je wamekunyang'anya au bado unavyo?


Swali zuri sana.
Niliondoka mimi na bag la nguo zangu tuu...
Kila kitu niliacha Parokiani.
Labda simu tu ndio sikurudisha sababu ilikua na information zangu delicate. Nishagaitupa hata hivo. Nilinunua Tel Aviv Israel mwaka 2011.
 
Kwa uandishi huu na majibu mepesi haya, hakuna padre hapa.

Sent from my Leader Plus using JamiiForums mobile app
 
Sijiiti mimi.
Bali waumini wangu ndio wananiita mpaka hivi sasa.
Nilishawaambia zaidi ya mara 105 kuwa higi sasa naitwa: Ustaadh Aziz Deo.
Lakini hawataki kuelewa, sasa mie nifanyeje
Kwa hiyo ni Deo Nalimi Kisandu?
 
Wana JF mnahangaika na mwehu wa akili ambaye analeta malumbano ya Dini hapa.

Kila mmoja lazima aheshimu imani na Dini ya mwenzake.

Malumbano ya Dini ni moja ya sababu ya mauaji duniani.

Kila mmoja aamini anachokiamini.


Asante kwa mchango wako.
Je una swali la kuniuliza nami nikujibu??
 
Hapana kabisa.
Sina uhusiano wowote na huyo mtu.
Lakini pia nadhani umechapia hapo.
Sio Deogratoous bali ni Deogratius.
Unabishana na mimi sasa wakati ndo wewe sasa iko hivii mtafute jamaa lazima ni pachako huyoo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Eti nilikua padre niliposikia adhana nikaacha upadre we hizi kbs lbd ulikua mwinjilisti WA Hv vikanisa vdg. Usitake kujipa umaaurufu kwa upadre


Wengi wetu tunasikiaga Adhana kutoka misikitini na kuona kama makelele tu yasiyo na maana.
Laiti kama mngelifahamu walau robo ya maana ya maneno yale yaliyo katika adhana, hakika nawaambia mngesilimu mchana wa saa sita na nusu.
 
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Ahahahah patre alieasi kaamua kuingia kwenye betting industry,wewe ni mmoja ktk wengi mnaopambana kuujua hasa msukumo wa imani yenu ktk jamii pana mnajifanya hata kusema kwamba nimeshakuwa fulani ili muaminiwe,tangazeni imani yenu kwa kutenda mazuri mtapata waumini ila kwa hivi mmechemka...wewe hujawahi kuwa Mkristo labda uwe sasa.

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
 
Parokia ya Itigi ipo chini ya Jumuiya gani?
Na hayo makao makuu ya Jumuiya hiyo yapo mkoa gani kwa hapa Tanzania?
Huo mwaka wa 2012 Parokia ya Itigi ilikuwa na mapadre wangapi? Na nani na nani?


Asante bwana mdogo God Heals
Jumuiya una maana dhehebu.
Anyway, kama kweli ulimaanisha Jumuiya basi majibu ya maswali yako yote yapo post namba 43.


cc: halloperidon


 
Baada ya kuitambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.
Ni kweli kabisa. Mapadri wengi 98% wana watoto.
Uliona wapi mwanaume rijali (mwenye mkuyenge) akaishi milele bila kupiga mambo???



Kwani kabla ya kuwa Padri ulikuwa hujui hilo au unataka kiki tu?
 
-ulisomea wapi upadre?
- mlikuwa wangapi?
- nani anatoa daraja la upadre
- nani mwenye uwezo was kukuvua upadre
- yesu katajwa Mara ngapi? Mwenye korani/Muhammad naye katajwa Mara ngapi?
- Koran inamtamua yesu kwa majina gani?
- wanawake wangapi wametajwa kwa majina kwenye korani wataje?
-kabla ya kuwa padre ulikuwa nani?
- mwaka gani? Ulihitimu upadre na wapi?
- nini? Maana ya mwaka A mwaka B na Mwaka C ktk kanisa na kwann iko hivyo


Asante sana bwana mdogo lufungulo k
Maswali yako mengi nimeyajibu page ya pili.
Hapa nakujibu baadhi ambayo hayapo kule.

Upadri ni mchakato, lakini kama kuhitimu basi nimehitimu chuo cha Theology kiitwacho Amsterdam House of Evangelists kipo nchini Uholanzi.
Tulikua wanafunzi 26 kutoka nchi 21.
Mwafrika (mtu mweusi) nilikua peke yangu.
Kabla ya kuwa Padri nilikua muhuni tu kama walivo vijana wengi.

Mwisho kabisa, kwenye Uislamu hakuna kitu kiitwacho Korani

cc:
God Heals and halloperidon
 
Mheshimiwa Padri...je wakati bado ni padri uliweza kutimiza sharti la kutofanya mapenzi? Na kama uliweza..je uliwezaje kuzishinda tamaa ya mwili?
 
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.

Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu


Padri aliyeiva hasa hawezi kuongea lugha za hovyo namna hii. Mbona Privatus Karugendo ameacha upadri lakini hana lugha za ukakasi kama zako....
 
Umekimbia dini ya binadamu,ukakimbilia dini ya haki.
Dini ya haki na kweli ni Yesu kristo .


Asante sana bwana mdogo kayihula
Jamani naombeni mnisaidie.
Hivi kuna dini inaitwa Yesu kristo?????
Nimezunguka zaidi ya nchini 37, hadi huko alikozaliwa Yesu sijawahi kusikia dini hiyo!!!
 
Back
Top Bottom