Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Huyu ni muongo lakini ni mwanaume mwenye mdomo mrefu sijawahi ona ,,,nazani kile kitendo ni sehemu ya masomo wanaelewa wanao fanya na sio mbwembwe kama anavo dai
Kisaikolojia ukimsoma vizuri ni mtu aliyejaribu kuujua ukatoliki lakini sasa mambo mengi ameyakuta yako ndani ya milango ya chuma na angepata nafasi tu angenyea watu vichwani.
 
Kweli ww mcharo mcharuko maana cjawahi kuona samaki akijiweka kikaangoni mwenyewe [emoji23][emoji23]

If you escaped from the lion's den, why go back for your hat?
 
Hapa hakuna padre kakimbia maswali yoteee analeta porojo tu

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] .siwez rushiana maneno.kama wanawake mbele za watu.sikuona sababu ya kuja.maana mwanaume hafanyi mambo yale.


Ni vyema sana!! Sasa nauli alituma au zilikua kelele tu za kinyakyusa
 
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Na bado utatukana hadi mama yako
 
Back
Top Bottom