kibumbu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,420
- 3,479
Na Mimi mkuuAkikujibu niite mimi, pamoja na halloperidon
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi mkuuAkikujibu niite mimi, pamoja na halloperidon
Waongo bana!!!!Hapana sijawahi.
Lakini nimefika sehemu nyingi sana mfano Jerusalem, Maccabi, Tel Aviv, Amsterdam (niliposomea degree yangu ya Theology), Sao Paulo, Milan, Catalunya (Barcelona)
Hapa Africa nimetembea karibu nchi zote isipokua Somalia tu
Sababu nyepesi kabisa. Maana imani yoyote msingi wake ni sala na/au maombi. Unamaanisha kuwa wakati wa utumishi wako ulikuwa hata huamki mapema kufanya maombi wakati ndiyo mafundisho uliyokuwa ukiwapelekea kondoo wako?Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Futa hiyo dada Mimi ni mwanaume rijali niliyekamilika hata punyeto sipigi Mimi ni papuchi tuAsante dada kibumbu
Nilichaguliwa Tabora Boys nikasoma form one na two, kisha nikaacha nikahamia Itaga Seminary.
Padri/Ustadh imani inazungumza nini kuhusu kamali.Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Kupewa na nani
Na kwanini nipewe
Naomba kuongezea swali hapo. Alirudisha vitu vyote kwa hiyari yake au alijimilikisha? Na kwa nini alifanya hivyo?Walikusomesha kwa mamilioni kama ulivyodai bila shaka hata vitu vya gharama mfano Nyumba au Gari pengine ulipewa..Je wamekunyang'anya au bado unavyo?
Falsafa kwani ulisomaga pia Amsterdam co? Kwel naniii haijawah kukuacha salamaNi kweli.
Kwa sababu Nyeto ndio ilikua msaada wangu mkubwa tangu nikiwa Tabora Boys, Itaga Seminary, UDSM , Amsterdam School of Divinity.
Hujasoma Boarding school wewe???
Niulize chochote, kuhusu lolote.
Itikadi zangu, attitute yangu nakadhalika.
Sitokutukana, nitakujibu kwa upole
Karibuni.