My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 898
- 2,478
aiseee, yaani bible haina nini? ulikua tatizo wewe sio bible.Kwanza nikuweke sawa, sikuvamia.
Nikiwa na akili zangu timamu niliona haki ilipo nikaifata.
Nikija kwenye swali lako la msingi:
Kwanza amani ya nafsi.
Pili burudani nayopata pindi naposoma Qur'an takatifu.
Maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Nimesoma sana Bible usinione hivi.
Kila nilipokua naisoma nilikua naisoma kwa mashaka mashaka tuu. Haina amani