Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Hiyo dini ya haki ndo ipi hiyo nijuze

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Umekimbia dini ya binadamu,ukakimbilia dini ya haki,bado unatangatanga tu,naamin moyon mwako bado hujapata pumziko la kweli!dini ya haki na kweli ni yesu kristo,lakin Kwa nyongeza dini ya kweli ni kuwaona yatima na wajane! Soma kitabu cha yakobo kuanzia sura ya 1-,Qur'an inasema wafuaten hao walio pewa injili na zabur,pole sana Kwa kutoka upotevun na kwenda upotevuni.Au ulipata Ka dili?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
-ulisomea wapi upadre?
- mlikuwa wangapi?
- nani anatoa daraja la upadre
- nani mwenye uwezo was kukuvua upadre
- yesu katajwa Mara ngapi? Mwenye korani/Muhammad naye katajwa Mara ngapi?
- Koran inamtamua yesu kwa majina gani?
- wanawake wangapi wametajwa kwa majina kwenye korani wataje?
-kabla ya kuwa padre ulikuwa nani?
- mwaka gani? Ulihitimu upadre na wapi?
- nini? Maana ya mwaka A mwaka B na Mwaka C ktk kanisa na kwann iko hivyo
Akikujibu niite mimi, pamoja na halloperidon
 
Ulivuoamia kwenye dini ya haki unamafanikio gani kutofautiana na wale uliowaacha kwenye dini iziyo ya haki.

Kwanza nikuweke sawa, sikuvamia.
Nikiwa na akili zangu timamu niliona haki ilipo nikaifata.

Nikija kwenye swali lako la msingi:
Kwanza amani ya nafsi.
Pili burudani nayopata pindi naposoma Qur'an takatifu.
Maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Nimesoma sana Bible usinione hivi.
Kila nilipokua naisoma nilikua naisoma kwa mashaka mashaka tuu. Haina amani
 
Basi kwa jibu hilo hujui lolote kuhusu upadre.

Yaap. Penginw sijui kabisa (kama unavodai)
Ama nimesahau kabisa mila za huko mkuu.

Yaani ukiniuliza habari za Upadri sijui kalienda kakarudi naona kama unanizodoa tu.
Niulize kwanini Swala ya magharibi (ile ya saa moja jioni) huswaliwa haraka sana baada ya adhana.
Hapo nitakupa full details.
 
Kwanza nikuweke sawa, sikuvamia.
Nikiwa na akili zangu timamu niliona haki ilipo nikaifata.

Nikija kwenye swali lako la msingi:
Kwanza amani ya nafsi.
Pili burudani nayopata pindi naposoma Qur'an takatifu.
Maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Nimesoma sana Bible usinione hivi.
Kila nilipokua naisoma nilikua naisoma kwa mashaka mashaka tuu. Haina amani
Iyo haki umeipata?

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Acha kujibu kibashite. Umewazidi nini ao uliowaacha katika dini isiyo ya haki? Mfano labda badala ya kuwa na pumbu mbili sasa una saba. Au sikuizi toka upo dini ya haki huendi chooni. Leta vitu tangible sio kujikanyaga kanyaga apa.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
kwan kubet kuna ruhusiwa katika imani yako Mpya Padri Mcharo Mcharuko?

Hapana kabisa.
Kubeti ni kamari.
Na kulingana na mafundisho ya dini ya Kiislam kamari ni madhambi katika madhambi makubwa.
Lakin sasa, kama unavoona mzee Jonii Alcohol Jozee Masolex anabana kila kona.
Maisha yanakua magumu mno, inabidi kulazimisha njia za haramu kupata pesa ndugu.
Astaghfurulla
 
Kwanza nikuweke sawa, sikuvamia.
Nikiwa na akili zangu timamu niliona haki ilipo nikaifata.

Nikija kwenye swali lako la msingi:
Kwanza amani ya nafsi.
Pili burudani nayopata pindi naposoma Qur'an takatifu.
Maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Nimesoma sana Bible usinione hivi.
Kila nilipokua naisoma nilikua naisoma kwa mashaka mashaka tuu. Haina amani

Hata kusoma unashindwa ndo ulikua Padri wewe???

Ameandika ulivyoamia(ulivyohamia) siyo ulivyovamia(Common sense ndogo tu)
 
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Una mwandiko mbaya

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujibu kibashite. Umewazidi nini ao uliowaacha katika dini isiyo ya haki? Mfano labda badala ya kuwa na pumbu mbili sasa una saba. Au sikuizi toka upo dini ya haki huendi chooni. Leta vitu tangible sio kujikanyaga kanyaga apa

Asante bwana heradius12
Unaonekana una Kiu ya kujifunza dini hii ya haki.

Kitu kikubwa niliwazidi nyie mliobaki huko ni Hekima na Busara.
Nikupe mfano halisi????
Tumuite mtu asome comment yako hiyo juu niliyo kuquote, then asome na hii comment yangu niliyokujibu.
Then aseme nani kati yangu mimi na wewe anaonekana ana Hekima na Busara.
Bila shaka mwenye pumbu mbili ameonekana, na mwenye pumbu saba pia ameonekana.
 
Back
Top Bottom