Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,157
- 1,413
Unapopata daraja la upadrisho ! Nani mwenye uwezo wa kukusitishia daraja hilo.
2-ulisomea wapi? Upadre wako?
3-hapo itigi ulikuwa kama nani?
4-mshahara was padri tsh ngapi?
hujawai kuwa hata mkatoliki wewe acha uongo
Walikusomesha kwa mamilioni kama ulivyodai bila shaka hata vitu vya gharama mfano Nyumba au Gari pengine ulipewa..Je wamekunyang'anya au bado unavyo?
Kwa hiyo ni Deo Nalimi Kisandu?Sijiiti mimi.
Bali waumini wangu ndio wananiita mpaka hivi sasa.
Nilishawaambia zaidi ya mara 105 kuwa higi sasa naitwa: Ustaadh Aziz Deo.
Lakini hawataki kuelewa, sasa mie nifanyeje
Wana JF mnahangaika na mwehu wa akili ambaye analeta malumbano ya Dini hapa.
Kila mmoja lazima aheshimu imani na Dini ya mwenzake.
Malumbano ya Dini ni moja ya sababu ya mauaji duniani.
Kila mmoja aamini anachokiamini.
Unabishana na mimi sasa wakati ndo wewe sasa iko hivii mtafute jamaa lazima ni pachako huyooHapana kabisa.
Sina uhusiano wowote na huyo mtu.
Lakini pia nadhani umechapia hapo.
Sio Deogratoous bali ni Deogratius.
Eti nilikua padre niliposikia adhana nikaacha upadre we hizi kbs lbd ulikua mwinjilisti WA Hv vikanisa vdg. Usitake kujipa umaaurufu kwa upadre
Ahahahah patre alieasi kaamua kuingia kwenye betting industry,wewe ni mmoja ktk wengi mnaopambana kuujua hasa msukumo wa imani yenu ktk jamii pana mnajifanya hata kusema kwamba nimeshakuwa fulani ili muaminiwe,tangazeni imani yenu kwa kutenda mazuri mtapata waumini ila kwa hivi mmechemka...wewe hujawahi kuwa Mkristo labda uwe sasa.Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Parokia ya Itigi ipo chini ya Jumuiya gani?
Na hayo makao makuu ya Jumuiya hiyo yapo mkoa gani kwa hapa Tanzania?
Huo mwaka wa 2012 Parokia ya Itigi ilikuwa na mapadre wangapi? Na nani na nani?
Baada ya kuitambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.
Ni kweli kabisa. Mapadri wengi 98% wana watoto.
Uliona wapi mwanaume rijali (mwenye mkuyenge) akaishi milele bila kupiga mambo???
-ulisomea wapi upadre?
- mlikuwa wangapi?
- nani anatoa daraja la upadre
- nani mwenye uwezo was kukuvua upadre
- yesu katajwa Mara ngapi? Mwenye korani/Muhammad naye katajwa Mara ngapi?
- Koran inamtamua yesu kwa majina gani?
- wanawake wangapi wametajwa kwa majina kwenye korani wataje?
-kabla ya kuwa padre ulikuwa nani?
- mwaka gani? Ulihitimu upadre na wapi?
- nini? Maana ya mwaka A mwaka B na Mwaka C ktk kanisa na kwann iko hivyo
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Umekimbia dini ya binadamu,ukakimbilia dini ya haki.
Dini ya haki na kweli ni Yesu kristo .