Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Maswali yoote nimeshajibu kwa ufasaha.
Kama una maanisha maswali ya bwana mdogo wilbald achana nae.
Jamaa kila muda anauliza maswali yale yale, namjibu anarudia kuuliza tena

Nimejiweka kwenye nafasi ya udadisi zaidi hivyo nilazima nikuulize maswali ya kiueledi zaidi kuendena na kazi unayodai ulishaifanya hapo awali...nadhani nisingekuwa nimekutendea haki na ninaamini hata wewe usingekubali kubali kujibu maswali yangu endapo ningekuuliza mfano...bunduki huoswaje wakati wewe hujawahi kuwa askari au ni kwanini dawa nyingine mgonjwa hupewa vidonge na nyingine hudungwa sindano wakati wewe siyo mfamasia au dakitari nadhani usingekuwa na majibu.

Hivyo yote hayo niliyokuuliza hapo awali yalikuwa maswali ambayo mtu yeyote aliyesomea daraja ya upadre angetakiwa kuyajua na siyo kweli nilikuwa narudiarudia maswali.

...hivi unaweza kuonesha nimerudia swali lipi?
 
Baada ya kuitambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.
Ni kweli kabisa. Mapadri wengi 98% wana watoto.
Uliona wapi mwanaume rijali (mwenye mkuyenge) akaishi milele bila kupiga mambo???
Acha kuwaongopea watu wewe
 
guuud
 
lugha yako inanifanya nisiamin kama ulikua padr na kwa lugha hii hata uislaam unaudhalilisha
 
wewe lazima zimefyatuka... Umesema 2012 ukafuata dini ya haki alafu gwajima kaongea habari za maharage mwaka 2015/16. Unaakili za form two na hakuna padri mwenye akili ya hivi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tell him
 
Mimi najua mcharuko huwa wanaitwa wanawake!! Hakuna padre mwanamke...

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa mkuu
 



Kumbe ulisomeshwa na kanisa
Na sasa unasoma kwa hisani ya kampuni
Lile deni la bodi ya mkopo ambayo unakatwa 15% umelitoa wapi??
 
Asante bwana mdogo God Heals
Jumuiya una maana dhehebu.
Anyway, kama kweli ulimaanisha Jumuiya basi majibu ya maswali yako yote yapo post namba 43.


cc: halloperidon


Yaani nazidi kushangaa unaposhindwa hata kuelewa nini maana ya jumuiya[society] kihuduma. Na hapa simaanishi JNNK.

Sasa kama umeshindwa kujua nini maana ya jumuiya.
1. Huo upadre uliupata wapi?
2. Katika maswali yote niliyouliza, katika post #71 umeona hilo la jumuiya tu?
3. Post #89 mbona hujajibu chochote, na zaidi unakimbilia kujibu maswali rahisi tu?

Kwa majibu yako wewe haujawahi hata kujua mlango wa convent unafananaje!
Acha kutafuta kiki kwa baiskeli, huo sio ustaarabu.

Niishie tu hapo, ila kwa jinsi ya majibu yako, hata unavyoishi na jamii inayokuzunguka ni shida tupu.
Asante!
 
Padree Mcharuko

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa Padri...je wakati bado ni padri uliweza kutimiza sharti la kutofanya mapenzi? Na kama uliweza..je uliwezaje kuzishinda tamaa ya mwili?


Kusema ukweli kabisa, niliwahi kufanya mapenzi mara moja tuu...
Wakat huo nikiwa Ghana kwenye kongamano la Katekisimu 2009.
Zaidi ya hapo Punyeto ilikua msaada wangu mkubwa sana.
 
Padri aliyeiva hasa hawezi kuongea lugha za hovyo namna hii. Mbona Privatus Karugendo ameacha upadri lakini hana lugha za ukakasi kama zako....


Asante dada mij
Sielewi kwanini wasema Lugha za kishenz
Neno "Kishenz" ni kivumishi Kikurupushi.
Ni neno fasaha lipo hadi kwenye kamusi ya TATAKI (UDSM toleo la 2013)
Ni sawa na mtu kusema Kubabake walay.
Kubabake sio tusi. Ni kivumishi
 
Kwa MTU yyte makini huitaji kusoma comment nyingi kujua huyu jamaa ni muongo tena hajawahi kuwa mkristo sembuse padri ,kaulizawa maswali mazuri sana na mchanguaji mmoja aliyeorodhesha kama maswali 7 hivi hakujibu ila anakimbilia mipasho ya p...mbu 7 na 2 kwake ndo cha maana Naombeni msimuulize tens swali llte maana ni maamuma huyu.kusukia hadhana tuu ndo uconclude ni dini ya haki haingii akilini na ukiuliza swali LA ndani unasema hukumbuki maana Si dini ya haki jipange upya

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…