wilbald
JF-Expert Member
- Dec 17, 2007
- 1,810
- 1,377
Maswali yoote nimeshajibu kwa ufasaha.
Kama una maanisha maswali ya bwana mdogo wilbald achana nae.
Jamaa kila muda anauliza maswali yale yale, namjibu anarudia kuuliza tena
Nimejiweka kwenye nafasi ya udadisi zaidi hivyo nilazima nikuulize maswali ya kiueledi zaidi kuendena na kazi unayodai ulishaifanya hapo awali...nadhani nisingekuwa nimekutendea haki na ninaamini hata wewe usingekubali kubali kujibu maswali yangu endapo ningekuuliza mfano...bunduki huoswaje wakati wewe hujawahi kuwa askari au ni kwanini dawa nyingine mgonjwa hupewa vidonge na nyingine hudungwa sindano wakati wewe siyo mfamasia au dakitari nadhani usingekuwa na majibu.
Hivyo yote hayo niliyokuuliza hapo awali yalikuwa maswali ambayo mtu yeyote aliyesomea daraja ya upadre angetakiwa kuyajua na siyo kweli nilikuwa narudiarudia maswali.
...hivi unaweza kuonesha nimerudia swali lipi?