Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Sauti hyo ndyo ikawa kipimo cha duni ya haki au mwanamke ndye aliyekubadirisha
 
Kusema ukweli kabisa, niliwahi kufanya mapenzi mara moja tuu...
Wakat huo nikiwa Ghana kwenye kongamano la Katekisimu 2009.
Zaidi ya hapo Punyeto ilikua msaada wangu mkubwa sana.
So ina maana mapadri wengi ni memba wa chaputa (chama cha punyeto tanzania)? Na vipi kuhusu masister...hawagongwi na mapadri kweli?
 
Dini ya haki wakati ukibadili dini adhabu yake ni kifo sasa kuna haki gani?

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Pep
Padri Mcharo Mcharuko.
Nilikua Padri mwenye misimamo sana.
Padri pekee niliemsapoti Askofu Gwajey kipindi kile cha sijui amekula maharagwe ya wapi yuleeeee
Unavyojibu inaonyesha huna akili timamu mcharuko na msimamo vinaingiliana vp?
 
Haki ni matendo na siyo maneno (hadhana) jipange kwanza hujasoma ungejua jinsi ya Ku defend case ila hapa huna jipya

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
 
Dini ya haki kucheza kamari mnaruhusiwa?
 
Asante dada mij
Sielewi kwanini wasema Lugha za kishenz
Neno "Kishenz" ni kivumishi Kikurupushi.
Ni neno fasaha lipo hadi kwenye kamusi ya TATAKI (UDSM toleo la 2013)
Ni sawa na mtu kusema Kubabake walay.
Kubabake sio tusi. Ni kivumishi



Yaan bado nakuona una tatizo, kwa sababu kila mtu unayemjibu humu JF unamwita dada. Toka lini umeniona mimi ni KE? Umejaa kejeli tu.. Mungu akusaidie sana
 
Kwanza ww unadhalilisha uislamu unaleta mada zinazosababisha uilsam kushambuliwa kwann usifikirie impact za Uzi wako kabla hujatuma,mm nataka nikuulize mambo ya uislamu ukijibu nitajua ww ni ustadhi

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
 
Je ulilelewa kwa imani ya dini IP?

Je sio tamaa ya wanawake ilikufanya ukaachana na upadre?

Kwa nini kidume ujiite mcharuko na kama ilo jina ulipewa na waumini huoni ni sababu ya tabia zako chafu?

Ukiwa mchungaji wa kondoo wa bwana ulifanikiwa kula wangapi kabla ujatimuliwa?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Hapo pia umeshindwa kuficha ujinga wako
 
Very poor reasoning. Sina hakika kama ulisoma Falsafa au ulikuwa Kilaza. Yaani hii reason hata ukimwambia mtoto hatakuelewa. May be yo brain has some loosen natz!!!

Kila la kheri Mcharuko


Asante dada yangu Jumong S
Very poor reasoning kwa kusoma.
Laiti kama ungei analyse naamini sasa hivi ungeachana na ukafiri na kuja dini ya haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…