sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Sauti hyo ndyo ikawa kipimo cha duni ya haki au mwanamke ndye aliyekubadirishaNakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri