Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
-
- #381
Uchawi umeacha?
Next time jipange!!!
ikiwezekana andaa kabisa maelezo kwenye note book
din ip ulitambua kuwa ni ya hakiPadri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.
Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuka suala la kupelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilisomesha kwa mamilioni ya pesa
Asante kwa ushauri wako.
Pengine ni kutokana na ugumu wa kichwa chako kuelewa.
Wenzako wooote wameelewa, ni wewe tu!!
Padri umetishaaa umejiweka kikaangoni mwenyewe, lol
swali langu, Umeshaoa???.
Unakumbuka la chini ilikuwa mwaka gani? Siku nyingine panga vizuri uongo wako
Wish you a good luck,Asante dada culture gal
Bado sijaoa.
Nikimaliza masters yangu hapa UDSM ishallah navuta jiko.
Umeolewa???
bwege ww
Padri za masiku?
Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
Mara ya mwisho kuvuta mneli aka kijiti aka ganja lini?
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Nonsense...
Hata mtoto anayesoma mafundisho ya komunio ya kwanza atafaulu zaidi yako.
Bila shaka sasa unajua mengi kwenye hiyo dini yako mpya, uiitayo ya haki. Mimi nina maswali kwa hiyo dini,I am very sorry.
Nishafuta kabisa memory ya habari za Maandiko ya kiyunani.
Niulize habari za Aboubakar ibn Sadik, Uthman ibn Hatwaab, Abu Lahabu.
Japo hujapatia swali langu.
Ila hebu tuambie hivi ile fimbo maaskofu huwa nayoo..inamaana ni wazee kiasi hicho hadi watembee nayo ili iwaeleke wasijeanguka au ina maana gani hasa?
Hilo ndo jibu sahihi Kwa huo MCHARUKO. Hii post ilipaswa ikomee hapaWewe ulikua pepo tu ndo maana uliondoka. Daima ktk ukristo pumba hujiondoa zenyewe. Mtu aliesoma na kutembea kwa kiwango km hicho hawezi kuzungumza ujinga km wako wewe mcharo. Wewe ulikua ni shetani tu uliejipenyeza kanisani. Laana imekupata tyr ndio maana sasa unazungumza vitu visivyoeleweka bd kuokota makopo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
WrongKuna watu wana hela na hawajui smartphone ni nini,
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app