Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Next time jipange!!!
ikiwezekana andaa kabisa maelezo kwenye note book


Asante kwa ushauri wako.
Pengine ni kutokana na ugumu wa kichwa chako kuelewa.
Wenzako wooote wameelewa, ni wewe tu!!
 
Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.

Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuka suala la kupelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilisomesha kwa mamilioni ya pesa
din ip ulitambua kuwa ni ya haki

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa ushauri wako.
Pengine ni kutokana na ugumu wa kichwa chako kuelewa.
Wenzako wooote wameelewa, ni wewe tu!!



Ni kweli.
Kwa sababu Nyeto ndio ilikua msaada wangu mkubwa tangu nikiwa Tabora Boys, Itaga Seminary, UDSM , Amsterdam School of Divinity.


UDSM ndio nilipo hivi sasa nachukua MBA in OIL and GAS under STAT OIL Scholarship 2016/2018.
 
Je unatafuta kiki kwa kula matikiti??? [emoji28][emoji4]

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Unakumbuka la chini ilikuwa mwaka gani? Siku nyingine panga vizuri uongo wako


2015 kwenda 16.
Na mwaka huo huo ndipo niliamua kusilimu.
Yaani niliachana na dini ya binadamu na kuifata dini ya haki.
Takbiiiir..... Allahu Akbar
Sema lingine nikusikie.
 
Padre mcharo nitakuunga mkono tu pale utakapo anzisha Taasisi ya kupigania haki za Wapiga Punyeto.....
 
Nonsense...
Hata mtoto anayesoma mafundisho ya komunio ya kwanza atafaulu zaidi yako.


Lazima afaulu zaidi yangu kwa sababu anasoma mafundisho.
Mimi nishaachana na hayo Madubwasha ya kanisani.
Yaani nishafuta memory yotee!!
Ukiniuliza sana hizo habari za kuabudu sanamu unanionea bure blaza
 
I am very sorry.
Nishafuta kabisa memory ya habari za Maandiko ya kiyunani.
Niulize habari za Aboubakar ibn Sadik, Uthman ibn Hatwaab, Abu Lahabu.
Bila shaka sasa unajua mengi kwenye hiyo dini yako mpya, uiitayo ya haki. Mimi nina maswali kwa hiyo dini,
1.Mwanzilishi wa hiyo dini ni mtume kweli?
2.Kama jibu la kwanza ni ndiyo una hakika gani na aliyempa utume ilhali kile kiumbe kilichotokea pangoni na kumbana mbavu hakikujitambulisha kwake hadi mwenyewe akakiri yumkini mashetani wamemhadaa?
3.Una hakika hiyo ni dini ya haki?
Kama ndiyo mbona mwanzilishi wake aliieneza hata kwa kuuwa watu wasio na hatia, na hata leo wafuasi wake wanafanya hivyo?
Naomba majibu halafu tutaendelea

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Na kwa majibu yake hakuwahi kuwa padri

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Japo hujapatia swali langu.

Ila hebu tuambie hivi ile fimbo maaskofu huwa nayoo..inamaana ni wazee kiasi hicho hadi watembee nayo ili iwaeleke wasijeanguka au ina maana gani hasa?


Sio fimbo tu.
Hata yale ma Misalaba makuubwa wanayoning'iniza shingoni wakati wa ibada, zote ni mbwembwe tu asikuambie mtu.
Kwa taarifa yako ndani ya RC kuna madhehebu zaidi ya 7.
Tembea duniani ujifunze vitu.
 
Wewe ulikua pepo tu ndo maana uliondoka. Daima ktk ukristo pumba hujiondoa zenyewe. Mtu aliesoma na kutembea kwa kiwango km hicho hawezi kuzungumza ujinga km wako wewe mcharo. Wewe ulikua ni shetani tu uliejipenyeza kanisani. Laana imekupata tyr ndio maana sasa unazungumza vitu visivyoeleweka bd kuokota makopo.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hilo ndo jibu sahihi Kwa huo MCHARUKO. Hii post ilipaswa ikomee hapa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom