Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Kwani bado hajaokota tu?Wewe ulikua pepo tu ndo maana uliondoka. Daima ktk ukristo pumba hujiondoa zenyewe. Mtu aliesoma na kutembea kwa kiwango km hicho hawezi kuzungumza ujinga km wako wewe mcharo. Wewe ulikua ni shetani tu uliejipenyeza kanisani. Laana imekupata tyr ndio maana sasa unazungumza vitu visivyoeleweka bd kuokota makopo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Naomba kujua historia ya wapaganNiulize chochote, kuhusu lolote.
Itikadi zangu, attitute yangu nakadhalika.
Sitokutukana, nitakujibu kwa upole
Karibuni.
Naomba umjibu Joseverest kwanini unashabikia NYETO?Hapana sijawahi.
Lakini nimefika sehemu nyingi sana mfano Jerusalem, Maccabi, Tel Aviv, Amsterdam (niliposomea degree yangu ya Theology), Sao Paulo, Milan, Catalunya (Barcelona)
Hapa Africa nimetembea karibu nchi zote isipokua Somalia tu
Hivi uko mtandaoni bado?Kwa nini unaitwa Padri mcharo?
Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.
Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuja suala la upelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilinisomesha kwa mamilioni ya pesa
Unaposema 'dini ya haki' unamaanisha kitu gani: kuhama dehebu moja kwenda dhehbu lingine au ni nini hasa?Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Baada ya kuitambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.
Ni kweli kabisa. Mapadri wengi 98% wana watoto.
Uliona wapi mwanaume rijali (mwenye mkuyenge) akaishi milele bila kupiga mambo???
Kumbe unaweza kuwa influenced kirahisi hivyo? Nilidhani labda msimamo wako ni kuhusu right/good judgement, kumbe sivyo? Inawezekana kabisa kwamba hata hiyo dini ya haki unayosema siyo.Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Ni kweli.
Kwa sababu Nyeto ndio ilikua msaada wangu mkubwa tangu nikiwa Tabora Boys, Itaga Seminary, UDSM , Amsterdam School of Divinity.
Hujasoma Boarding school wewe???
Of course, umesoma sana biblia (reading). Lakini je uliielewa (grasping its message) au uliishia tu kusoma?Kwanza nikuweke sawa, sikuvamia.
Nikiwa na akili zangu timamu niliona haki ilipo nikaifata.
Nikija kwenye swali lako la msingi:
Kwanza amani ya nafsi.
Pili burudani nayopata pindi naposoma Qur'an takatifu.
Maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Nimesoma sana Bible usinione hivi.
Kila nilipokua naisoma nilikua naisoma kwa mashaka mashaka tuu. Haina amani
Nakuunga mkono kam hajui maana yake huyu ni mbabaishaji tuBasi kwa jibu hilo hujui lolote kuhusu upadre.
Hatimae nimepata maswali.
1. UDSM umesoma mwaka gani? Ulikua unasomea nini? Je unamiliki degree ngapi!? Ni kanisa katoliki lililokusomesha??
2. Una umri gani sasa?
3. Kwa sasa taaluma yako ni ipi??
4.Ulidumu kwenye huduma ya upadre kwa muda gani?