Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

hakika tunammiss sana huyu member aliyekuwa anatumia ID tatu kabambe sana humu ndani

cc Padri Mcharo
cc Chief Engineer
cc CCNP Engineer

mzee baba eeeeh popote ulipo embu fanya urudi tena humu jukwaani😂
 
Wewe ulikua pepo tu ndo maana uliondoka. Daima ktk ukristo pumba hujiondoa zenyewe. Mtu aliesoma na kutembea kwa kiwango km hicho hawezi kuzungumza ujinga km wako wewe mcharo. Wewe ulikua ni shetani tu uliejipenyeza kanisani. Laana imekupata tyr ndio maana sasa unazungumza vitu visivyoeleweka bd kuokota makopo.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwani bado hajaokota tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sijawahi.
Lakini nimefika sehemu nyingi sana mfano Jerusalem, Maccabi, Tel Aviv, Amsterdam (niliposomea degree yangu ya Theology), Sao Paulo, Milan, Catalunya (Barcelona)
Hapa Africa nimetembea karibu nchi zote isipokua Somalia tu
Naomba umjibu Joseverest kwanini unashabikia NYETO?
 
Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.

Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuja suala la upelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilinisomesha kwa mamilioni ya pesa

Je, uliposoma hadi kuwa padri kwa miaka saba ni nini kilikuzuia kutambua dini ya haki na kama wakati ule hukutambua ni nini kimekufanya utambue baadaye dini ya haki?
 
Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.


Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Unaposema 'dini ya haki' unamaanisha kitu gani: kuhama dehebu moja kwenda dhehbu lingine au ni nini hasa?
 
Baada ya kuitambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.
Ni kweli kabisa. Mapadri wengi 98% wana watoto.
Uliona wapi mwanaume rijali (mwenye mkuyenge) akaishi milele bila kupiga mambo???

Huo utafiti uliufanya kwa idadi gani ya mapadri ili upate hiyo asilimia 98 au ni ile fallacy of generalisation? Je, miaka yote hiyo uliyosomea upadri hukuweza kutambua urijaji wako mpaka hapo ulipojiunga na hiyo dini ya haki? Kumbe una urijaji wa musimu - yaani kwamba kuna wakati haufanyi kazi na kisha baadaye unafanya kazi?
 
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Kumbe unaweza kuwa influenced kirahisi hivyo? Nilidhani labda msimamo wako ni kuhusu right/good judgement, kumbe sivyo? Inawezekana kabisa kwamba hata hiyo dini ya haki unayosema siyo.
 
Ni kweli.
Kwa sababu Nyeto ndio ilikua msaada wangu mkubwa tangu nikiwa Tabora Boys, Itaga Seminary, UDSM , Amsterdam School of Divinity.
Hujasoma Boarding school wewe???

Hujui kama hiyo ni deviation na ina athari psychologically au kwamba umeshakuwa affected psychologically?
 
Kwanza nikuweke sawa, sikuvamia.
Nikiwa na akili zangu timamu niliona haki ilipo nikaifata.

Nikija kwenye swali lako la msingi:
Kwanza amani ya nafsi.
Pili burudani nayopata pindi naposoma Qur'an takatifu.
Maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Nimesoma sana Bible usinione hivi.
Kila nilipokua naisoma nilikua naisoma kwa mashaka mashaka tuu. Haina amani
Of course, umesoma sana biblia (reading). Lakini je uliielewa (grasping its message) au uliishia tu kusoma?
 
Ebu tuchambulie maana ya dini ya haki,na wewe umeshatimizi haki zipi.
Nakukumbusha tu,hata Shetani ana dini ya haki,pia popote unapokimbilia unaweza ukawa vilevile kwa sababu mtu wa dini si lazima awe mtu wa Mwenyezi Mungu.Tuna watu wa dini na watu wa dini walio ndani ya Mwenyezi Mungu.Mfano.Kuna Mkatoliki na Mkatoliki Mkristu,Kuna Mwislamu na Mwislamu wa Mwenyezi Mungu,tuna Mlokole na Mlokole Mkristu.
 
Basi kwa jibu hilo hujui lolote kuhusu upadre.
Nakuunga mkono kam hajui maana yake huyu ni mbabaishaji tu

Ukisha somewa Ritania za watakatifu ukigeuka lazima unakau chizi..nahisi umesha kumbwa na hili
 
Hatimae nimepata maswali.
1. UDSM umesoma mwaka gani? Ulikua unasomea nini? Je unamiliki degree ngapi!? Ni kanisa katoliki lililokusomesha??
2. Una umri gani sasa?
3. Kwa sasa taaluma yako ni ipi??
4.Ulidumu kwenye huduma ya upadre kwa muda gani?

Na je kwa sheria za Kanisa Katoliki (Canon Law), ambazo yeye mwenyewe amezisoma, padri anayeacha utume anatakiwa a'behave' namna gani?
 
Waumini wako ndio wamekufungulia account JF wakakuandika padri mcharo?
 
Back
Top Bottom