Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
- #641
Intavuu yakoo vp..
Unamaanisha Interview ipi.... ile ya IP/Networking???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Intavuu yakoo vp..
Kwa imani ya dini zenu kubeti ni dhambi kwa hiyo unakubali kufanya dhambi kwa sababu maisha ni magumu?Maisha magumu Blaza... Hakuna namna!!!
Kabla ya hapo hujawahi kusikia adhana?Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Kiukweli sina swali mkuu Chief Engineer.
Ila kiukweli huwa unanivunja mbavu na post zako.
Post yako moja inayozungumzia 'Tugari twa mikoani ni tubaya tubaya' ndio ilinifanya fan wako kwa zile replies ulikua unawapa wakuu.
Ile intro yako kabla ya post mpya ya
'Niaje wazeiyaah..
Mko bwax...
EBANA SAWA'
Hiyo intro nilikuaga nacheka sana.
Ila mkuu [HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] nipo disapointed ile ID huna tena, sielewi ilikuaje but nilikua mfuatiliaji mzuri sana wa "nyuzi zake"
Hoping to see [HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] back soon
Mi pia asee
Nimemmiss sana chief engineer na comments zake
Alafu sikuwahi kuona kapigwa ban hata na yale majibu yake
Mkuu ngoja nikufolo kabisa ww ni moja wa watu wanaoniacha hoi hapa jf...Niulize chochote, kuhusu lolote.
Itikadi zangu, attitute yangu nakadhalika.
Sitokutukana, nitakujibu kwa upole
Karibuni.
aiseee kwanini nilichelewa kuuona uzi wako najilaumuPadri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.
Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuja suala la upelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilinisomesha kwa mamilioni ya pesa