Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Tangu seminary, philosophy, theology, ushemazi, mpaka upadre hukuyaona? Mtu mjanja ni yule anaacha baada ya philosophy, kwani mwanafalsa anagundua dini zimechorwa na wajanja.Hukumsoma Karl Marx?. Eti usiowe ili ufanye kazi ya Mungu inaingia akilini kweli?? Think twice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Kabla ya hapo hujawahi kusikia adhana?
 
Kuna mahali umesema Quran haikuandikwa imeshushwa na Mungu,hebu changanya akili kidogo ujue unadanganywa ,inamaana Mungu in mwisilam maana Mungu kawateremshia kitabu cha kiarabu inamaana Mungu in mwarabu? tumia akili kidogo kujua hiyo dini ni utapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda watu walio wazi kama wewe, kuliko ubaki ufanye mambo kiunafiki ukaamua kuachia ngazi, hongera sana. Kweli kabisa hata mtu hajaenda shule ni Mungu gani anaesema usioe ili umtumikie?? Pambana na maisha Mungu atakusaidia wala usijali mda uliopoteza. Kuna siku nilihoji ulikua wapi tangu seminary philosophy, theology, ushemasi mpaka upadre. Ukajibu pasipo hata kuchukia kwamba "ni shida ndugu "Ama kweli shida haina adabu. Mungu wa kweli akusaidie akulinde na mafanikio mema. Jaribu kuwapitia kwa makini wale wanafalsa uliosoma wakati wa philosophy, angalia misimamo yao na wewe uwe na msimamo wako (cogito ergo sum)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli sina swali mkuu Chief Engineer.

Ila kiukweli huwa unanivunja mbavu na post zako.

Post yako moja inayozungumzia 'Tugari twa mikoani ni tubaya tubaya' ndio ilinifanya fan wako kwa zile replies ulikua unawapa wakuu.

Ile intro yako kabla ya post mpya ya

'Niaje wazeiyaah..
Mko bwax...
EBANA SAWA'

Hiyo intro nilikuaga nacheka sana.

Ila mkuu [HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] nipo disapointed ile ID huna tena, sielewi ilikuaje but nilikua mfuatiliaji mzuri sana wa "nyuzi zake"

Hoping to see [HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] back soon

Mi pia asee
Nimemmiss sana chief engineer na comments zake

Alafu sikuwahi kuona kapigwa ban hata na yale majibu yake
 
dah father mcharoooo..... saa 12 aumelala ukaskia azana wakat mapadre saa 12 wapo kanisani tayari kusoma misa za kila siku asubuhi. majibu yako ya onyesha ulivyo na uwezo mdogo wa akili nakufikiri.
 
Wewe Chihe acha kumuita pepo Kwani mwisho Mungu wa kweli alimtokea, hakika Mungu wa kweli hasemi usioe ili unitumikie, ndio maana nikamletea Adam Eva
 
Mi pia asee
Nimemmiss sana chief engineer na comments zake

Alafu sikuwahi kuona kapigwa ban hata na yale majibu yake

Mkuu umeona ee! [HASHTAG]#chief engineer[/HASHTAG] alikua amejaa majibu 'ya kuudhi lakini at the same time ya kuchekesha aisee
 
Inaonekana bado dhamira inakusuta kwa kutoka ktk upadre ni uamuzi wako mwenyewe siuingilii ila umebase kusemea mabaya kuhusu kanisa katoliki bila kuangalia upande wa mazuri ,Allah akusaidie huko uliko usije ukaondoka ukaenda kwingine tena
 
Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.

Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuja suala la upelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilinisomesha kwa mamilioni ya pesa
aiseee kwanini nilichelewa kuuona uzi wako najilaumu
okay ngoja niende kwenye hoja yangu

WAWEZA KUTUAMBIA NI DINI IPI YA HAKI AMBAYO ULIKUJA KUITAMBUA ??
 
Hakuna kumbukumbu kulikuwa na Padri aliye kuwa akiitwa mcharo!
 
Back
Top Bottom