Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu[/QUO
Hivi ni kweli ili uwe padre lazma utoe kafara ya mzaz?
Anajichanganya kinoma mtu muongo utamjua tuwewe lazima zimefyatuka... Umesema 2012 ukafuata dini ya haki alafu gwajima kaongea habari za maharage mwaka 2015/16. Unaakili za form two na hakuna padri mwenye akili ya hivi
Haya maswali akijibu niiteParokia ya Itigi ipo chini ya Jumuiya gani?
Na hayo makao makuu ya Jumuiya hiyo yapo mkoa gani kwa hapa Tanzania?
Huo mwaka wa 2012 Parokia ya Itigi ilikuwa na mapadre wangapi? Na nani na nani?
Kwa nini unafurahia vitendo vya kupiga nyeto??
Nakusalimu bibiehujawai kuwa hata mkatoliki wewe acha uongo
Hiyo dini ya haki uliyoitambua ni ipi?
Nami namsubiri, nitakuita mkuu halloperidon maana hiyo miaka anayozungumzia mimi ndo nilikuwa ministrant, na nilikuwa katibu mkuu wa hiyo jumuiya ya vijana kitaifa.Haya maswali akijibu niite
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Je inaweza kuwa sababu moja ni ulitaka kuanzisha familia uwe na watoto au?