Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu[/QUO
Hivi ni kweli ili uwe padre lazma utoe kafara ya mzaz?