Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Hapana sijawahi.
Lakini nimefika sehemu nyingi sana mfano Jerusalem, Maccabi, Tel Aviv, Amsterdam (niliposomea degree yangu ya Theology), Sao Paulo, Milan, Catalunya (Barcelona)
Hapa Africa nimetembea karibu nchi zote isipokua Somalia tu


Hiyo (degree) ya Theologia ulisomea miaka mingapi...?? Na Ulikua padre wa shirika gani..??
 
Nisaidie kujua kuhusu mageuzo nini katika kanisa katoliki?

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri ni kwamba utakacho ww ni maswali. Je baada ya kutoka ktk huo Upadre na kujiunga ktk dini ya haki,umeendelea kuishi ktk utume wa dini hio na kuwa mwalimu ktk msikiti au umejiajiri ama kuajiriwa sehemu nyingine ?
 
Kwanini unapotosha watu kua wewe uliwahi kua padri?

Mrs Van
 
Back
Top Bottom