Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Dah... Jamaa kawapa vitasa mpaka watu wamekimbia wenyewe
 
Sijiiti mimi.
Bali waumini wangu ndio wananiita mpaka hivi sasa.
Nilishawaambia zaidi ya mara 105 kuwa higi sasa naitwa: Ustaadh Aziz Deo.
Lakini hawataki kuelewa, sasa mie nifanyeje
Uchochezi huo
 
Waumini ndio walikufungulia hii id ya JF?
 
Back
Top Bottom