Mh. Zito please don't do this. Hawa wabunge wa viti maalumu wengi ni mamluki na mnavyozidi kuwaongeza mjue mna punguza nguvu ya wabunge wawakilishi wa majimbo linapokuja suala la ku-vote.
ndio haswa maana yake...viti maalumu wanatoka CCM, hao wa majimboni na wapinzani wakileta matata, viti maalumu wana sawazisha
kwa hiyo bora ufe hata leo ili RA asiendelee kuwepo? I hope God is not in the listeni mood right now.
You are very wrong. It is more to that. Line up towards 2015. Hafi maji yule, japo kwa sasa!
Kwa mtaji huu CCM wanako elekea ni kuuza nchi kama pesa ina nguvu kiasi hiki mpaka wabunge walio chaguliwa na wananchi kihalali wanakubali kununuliwa kwa fedha za kifisadi basi tunako elekea tutaanza kuchapata makonde.
Mhe. Zitto kumbe hata wewe unalikubali hili kuwa RA ni King Maker?. Wakati ulipotishia nyau kwa Mbowe, mengi mabaya yalisemwa juu yako likiwemo la kupokea kitita toka kwa jamaa huyu kilichokupatia makazi eneo la vibopa na kutesa na mashine za ki hollywood. Are you part and parcel?.
offcourse he can never be a top boss but a ccm sponsor, he will always be.Mkuu Carmel,
No please, I did not say God should listen and act now!!! I need this to happen when it is closer to 2015 and on condition that RA is likely to become our next top boss!!!!
Tiba
Hapa sio Rostam au Rowasa hapa,Hapa ni je tume ya Mwakyembe ilisema kweli au?
Maana hawa kina Mwakyembe nao walikuwa na maslahi yao ktk umeme wa upepo singida sasa iundwe tume kuwachunguza hao kina mwakyembe
Mwenyekiti awe Slaa au Zitto
Good stand, usije ukayumbishwa mpwa!Sitaki. Hayo mambo ya CCM wayamalize wenyewe. Bunge tulimaliza kazi yetu
Ondokeni humo. Hakuna mtakalofanikisha. Na kwa chaguzi za mitaa zilizopita zilivyoonyesha huenda mwakani mkawa wachache zaidi.Tupo 44 kati ya 322. Twafanyaje?
.RA too late mkuu jipange upya
uzushi ule ule. Simply prove.
Siasa za Tanzania zina mengi tusiyoyajua na wengi tunajadali tunayoyasoma kwenye magazeti ambayo huwa yamechujwa na hata kutiwa chumvi. Nakubaliana na mengi unayoyasema humu kwani unasema realities na sio hisia.
On me, sitaki kujitetea. wenye proof waweke tu hapa! Uzushi, Majungu na fitna ndio utamaduni wa siasa za Tanzania. Mtu aweza kuanzisha uwongo na ukazunguka mpaka yeye mwenyewe akauamini na kusahau alitunga yeye!
sijui ni lini na ilikuaje Mh. Zito ukaanza kuhusishwa na hizi Blah
unashangaa kwa kuwa haya huwa yanafanyika kwa siri kimsingi wangeweza kuundia kamati vile tu wamepishana kimaslahiYaani tutumie mamillioni ya kodi kwa ajili ya kutafuta Rostam ajiuzuru! mbona hiki ni kichekesho. dah! Rostam ...
Ondokeni humo. Hakuna mtakalofanikisha. Na kwa chaguzi za mitaa zilizopita zilivyoonyesha huenda mwakani mkawa wachache zaidi.