Kikao cha Dharura: Mashabiki wa team 12 (Vichwa Ngumu) zilizoanzisha "European Super League". Tukutane hapa tujadili jambo hili

Kikao cha Dharura: Mashabiki wa team 12 (Vichwa Ngumu) zilizoanzisha "European Super League". Tukutane hapa tujadili jambo hili

Hivi vilabu na ESL wamejipanga vilivyo, imagine wameanza kutangaza ushirika na ushiriki wao baada ya vitisho vikali vya UEFA na FIFA bila wasiwasi.

Hii ni wazi lolote liwe au lisiwe wameamua kuanzisha ligi yao. Lakini tunaona kwa umbali kuna nguvu kubwa nyuma hasa kutoka kwa wamiliki wenye ukwasi wa vilabu hivi.

Pamoja na hayo bado tunaona nyuma yake kuna kampuni zinazoona hii ligi itakuwa fursa kwao katika kujitanua zaidi. Sasa tunashudia DAZN wakiweka pesa nyingi kuchukua haki za matangazo ya mashindao haya, Rakúten, Under Armour na Claró nao inasemakana wapo nyuma ya ESL.
Mshindi wa UEFA huwa anapata kitita cha around € Millioni 19, mshindi wa pili anapata kitita cha € Million 15.

Super League wamesema kila team itakayo kubali kujiunga na Super League kama founding member, itapewa € Billion 3 kwaajili ya kufanya maandalizi/ujenzi wa viwanja. Halafu, mshindi kwenye mashindano atapata kitita cha € Millioni 500.

Kwa hio hela ya mshindi kupokea € Millioni 500, team zitakuwa zinacheza kufa na kupona na zitatoana roho uwanjani. League hii itakua na mechi kali sana kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu (Kwanza top clubs zote za ulaya zipo, halafu hela ni ndefu sana kwa mshindi atakae beba kombe).
 
Mshindi wa UEFA huwa anapata kitita cha around € Millioni 19, mshindi wa pili anapata kitita cha € Million 15.

Super League wamesema kila team itakayo kubali kujiunga na Super League, itapewa € Billion 3 kwaajili ya kufanya maandalizi/ujenzi wa viwanja. Halafu, mshindi kwenye mashindano atapata kitita cha € Millioni 500.

Kwa hio hela ya mshindi kupokea € Millioni 500, team zitakuwa zinacheza kufa na kupona na zinatoana roho uwanjani. League hii itakua na mechi kali sana kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu (Kwanza top clubs zote za ulaya zipo, halafu hela ni ndefu sana kwa mshindi atakae beba kombe).
Hakika maana na wachezaji wanakuwa hawana wasiwasi wa mkataba kutokana na pesa inayoingizwa. Hii idea ingekuwa nzuri ESL ikawa na formality hii;-

European Super League na European Platnum League kwa kushirikisha vilabu 40 katika divisions mbili Super na Platnum. Kwa kuanza Ikaanza hivyo 12 Founding Members na other 5 huku zikionngezwa timu nyingine nguli na second session kukawepo na kupanda na kushuka between them.
 
UEFA wana hali ngumu sana kwa sababu vilabu vikubwa vya dunia tayari wameshaunga mkono jambo hili bila kupepesa nadhan UEFA na FIFA bora waje matao ya chini kuwe na league 3 ukitoa zile za ndani, hiyo Champion League, Super league na Europa hapa issue kubwa ni biashara kama UEFA wameona ni changamoto basi waongeze mapato kwa hivyo vilabu na kuwa wawazi zaidi ili clubs wanachama wavunje mkataba na Super League.,

Kwa mara ya kwanza soccer linapata mtikisiko wa aina yake, na nadhan hii UEFA hawakuilalia wala kuiamkia imekuja kufumuka tu tayari watu washaingia sokoni kushawishi vilabu.,

UEFA mimi nawachukia sana mwaka 2011 Arsenal ikichecha na Barcalona ikiwa tayari Arsenal wanaitoa barcalona basi walimpa kadi nyekundu Van Parsie kwa mipango tu ili fainali lazima akacheze Barcalona na team nyengine ili wake make more money.,
Figisu kama hio aliofanyiwa Arsenal VS Barcelona na mechi nyingine nyingi ndio maana wengi walianza kuichukia UEFA, uongozi wa UEFA & FIFA wa miaka ya 1998 mpaka 2007 huko ndio ilikua vizuri. Siku hizi wanaenda kisiasa sana.

We fikiria Mwenyekiti wa UEFA siku hizi mshahara wake ni siri. Wanaficha nini kama sio ufisadi.


Safari hii watu kuanzia 16 bora, wameshapata taarifa kwamba mshindi ni PSG alie andaliwa.
 
Hakika maana na wachezaji wanakuwa hawana wasiwasi wa mkataba kutokana na pesa inayoingizwa. Hii idea ingekuwa nzuri ESL ikawa na formality hii;-

European Super League na European Platnum League kwa kushirikisha vilabu 40 katika divisions mbili Super na Platnum. Kwa kuanza Ikaanza hivyo 12 Founding Members na other 5 huku zikionngezwa timu nyingine nguli na second session kukawepo na kupanda na kushuka between them.
Bonge moja la wazo hilo, la kuwa na Super League na Platinum League, kwasababu hapa watawagusa mashabiki na team zote barani ulaya na dunia kwa ujumla.

Labda watafanya hivo in time.
 
Najaribu kupiga hesabu za huu mchongo......mapositive yapo kibak na manegative yapo kibao....

Ili UEFA na Fifa waokoe hili....wafanye announcement ya kuongeza dau washiriki na mabingwa wa mashindano yao hayo......Tena liwe la kutosha
 
UEFA ni kikundi cha wahuni Kama wahuni wengine mpira siku hizi ni biashara timu zinatumia uwekezaji mkubwa kweny ujenzi wa viwanja na bei za wachezaji sikuhizi zimekua ghari sana ,timu zinatumia gharama kubwa kutibu wachezaji endapo wakipata majereha ila pesa wanayotoa UEFA ni ndogo sana na ukizingatia wanamashindano kibao ambayo wachezaji haohao inabidi watumike
 
naunga mkono hoja hata africa haiwezekani bingwa akapata bilioni ambazo hazifiki 10
 
Bayern Munichen amepewa siku 30 kufanya maamuzi magumu kama anajiunga na hii Super League au anaendelea na UEFA, ndani ya siku 30 anatakiwa atoe msimamo wake. PSG nae amepewa week mbili tu (Siku 14) kufanya maamuzi magumu na yeye kama ataamua kujiunga na Super League au ataendelea na UEFA.

Mwenyekiti Fiorentino Peréz amesema UEFA wanauua mpira wa miguu na kila kitu kinafanywa kisiri siri, akatoa mfano dunia inajua mshahara wa LeBron James ila hawajui mshahara wa Mwenyekiti Wa UEFA wao (Kwanini mshahara wa kiongozi wa UEFA kufichwa siri), amesema wao kama Super League hawataki maswala ya team kuwa vinyonga.

Team hizo 12 za awali wameisha sign mkataba na European Super League wa miaka 23.

UEFA amekamatwa pabaya. Jamaa wapo serious, hawacheki na nyani.

Uefa wahuni tu wanapiga sana hela, UEFA wakithubutu kuzitoa hzo timu kwenye liga yao bhs uefa itakutana na mtikisiko wa uchumi mkubwa kutokea, kumbuka hzo tim hapo juu ndo znaongoza kwa kuwa na sponsors wakubwa ndo wanaosponsa mpaka uefa sasa wakitolewa watakosa sponsors. Hii Uefa super league itaenda kupata wadhamini wengi sana na naona jinsi tv na website zitakavonunua matangazo ya vipindi vyao. Hii ndo revolution tunayotaka
 
IMG_2652.jpg

Nmecheka sana
 
Habari Wana Jamii, Habari Wana Soka.

Leo ni "Afe Kipa, Afe Beki - Bukta Chanika, Boxa Vuuka - Lazima Kieleweke" limeanza amsha amsha na kuwekwa wazi kwa team vichwa ngumu barani ulaya, zilizoamua kusaliti kambi na kuanzisha League yake, hii ni baada ya kuona "UEFA & FIFA" ni wahuni na wapangaji wa matokea ya mechi juu ya meza kwa kushinikizwa na makampuni ya kucheza kamali (Betting Companies).

Team zitakazo shiriki michuano hio zitapewa € Billion 3.5 kwaajili ya kujiwekeza katika maswala mbali mbali ya team zao (Kama kuboresha viwanja n.k), nia na madhumuni ni kuwapa mashabiki wa mpira mechi zilizo bora na kali kuliko zinazochezwa katika "UEFA & EUROPEAN LEAGUE" kwa sasa hivi. Mechi ambazo pia zitachezwa katikati mwa week kama zilivyo za UEFA hivi sasa, na weekend kuachia dirisha za mechi za ligi za ndani kama ilivyo.

Ligi itahusisha team 20, 15 ambazo ni timu mama za league na nyingine kupita kwa vigezo vya nafasi watakazopata katika misimamo ya ligi za ndani.

Leo mara baada ya kutangazwa rasmi kwa kuanzishwa League hio ambayo inaonekana kuwa "TISHIO KUBWA KUWAHI KUTOKEA" hasa kwa UEFA & FIFA, taharuki imetanda baada ya tamko kutoka kwa UEFA & FIFA kukemea na kulaani kwa kuanzishwa kwa michuano hio.

Licha ya tamko la UEFA & FIFA kulaani kitendo hicho na kukiita ni ha "KIHUNI KUWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA SOKA", walienda mbali na kusema kwamba "TEAM YOYOTE ITAKAYOSHIRIKI MICHUANO HIO BASI ITAFUNGIWA KUSHIRIKI UEFA, EUROPA NA LEAGUE ZA NYUMBANI KWAO (National League)", na kuendelea kusema kwamba wachezaji watakao shiriki michuani hio watafungiwa kushiriki "WORLD CUP na EUROPE CUP".

Jambo hili limepelekea UEFA kuahirisha kwa muda usiojulikana mechi zilizosalia za Michuano ya UEFA, ambazo ni "MANCHESTER CITY VS PSG" na "CHELSEA VS REAL MADRID". Na kusema wataitisha kikao cha dharura na kujadiliana kumpa ushindi wa mezani PSG kwenye michuano ya "UEFA CHAMPIONS LEAGUE".

Mwenyekiti wa michuano hio mipya ya "EUROPEAN SUPER LEAGUE", anaeitwa na kutambulika na "UEFA & FIFA" kama mhuni mkuu Bwana Fiorentino Pérez nae hakusita kutoa tamko ya kwamba "MKIWAFUNGIA WACHEZAJI WETU KUCHEZA WORLD CUP QATAR, SIO TATIZO KUBWA KWETU KABISA, KWANI TUTAANZISHA NA WORLD CUP YETU".

Team zenyewe ni 12, ambazo zinatambulika kama "WAASISI WA EUROPEAN SUPER LEAGUE", ni;

1) AC Milan (Italy).

2) Arsenal (England).

3) Atletico Madrid (Spain).

4) Chelsea (England).

5) Barcelona (Spain).

6) Internazionale - Inter Milan (Italy).

7) Juventus (Italy).

8) Liverpool (England).

9) Manchester City (England).

10) Manchester United (England).

11) Real Madrid (Spain).

12) Totenham Hotspurs (England).



Wadau wa soka na kubeti, nimewaita tujadiliane

Karibuni kutoa mitazamo yenu na updates kuhusu swala hili.View attachment 1757074View attachment 1757075
Mara paap timu zote sita za epl zimejitoa

Pereza ataficha wapi uso wake.....

Simkubali hata kidogo jamaa
 
Bayern Munichen amepewa siku 30 kufanya maamuzi magumu kama anajiunga na hii Super League au anaendelea na UEFA, ndani ya siku 30 anatakiwa atoe msimamo wake. PSG nae amepewa week mbili tu (Siku 14) kufanya maamuzi magumu na yeye kama ataamua kujiunga na Super League au ataendelea na UEFA.

Mwenyekiti Fiorentino Peréz amesema UEFA wanauua mpira wa miguu na kila kitu kinafanywa kisiri siri, akatoa mfano dunia inajua mshahara wa LeBron James ila hawajui mshahara wa Mwenyekiti Wa UEFA wao (Kwanini mshahara wa kiongozi wa UEFA kufichwa siri), amesema wao kama Super League hawataki maswala ya team kuwa vinyonga.

Team hizo 12 za awali wameisha sign mkataba na European Super League wa miaka 23.

UEFA amekamatwa pabaya. Jamaa wapo serious, hawacheki na nyani.
Pale epl boris kauwasha moto
 
Back
Top Bottom