Waziri Mkuu Boris amewasha moto sio kwa maslahi ya UEFA & FIFA, amewasha moto kwasababu hajaeleweshwa jinsi league itakavyokua ina kwenda na hofu yake ni team zote kali za England zimesha sign mikataba na European Super League ya miaka 23.Pale epl boris kauwasha moto
Hawawezi kujitoa kwasababu;Mara paap timu zote sita za epl zimejitoa
Pereza ataficha wapi uso wake.....
Simkubali hata kidogo jamaa
UEFA washenzi, unakumbuka mfano mmoja wa kupanga kwao matokeo (Match ya Arsenal VS Barcelona) Arsenal match ya kwanza walishinda, walipokwenda Nou Camp wakafanyiwa hujuma Van Persie akapigwa kadi nyekundu?Jambo zuri sana tena,akuna kulala.
Mikeka yangu yote hapo kwenye hayo mashindano naziua Arsenal na Barca ingawa mimi Arsenal.
wameshasain makubaliano ya kutokujitoa USL, (na walifanya hivyo maksudi ili kama ni kuadhibiwa waadhibiwe wote, kitu ambacho hakiwezi tokea).....Mara paap timu zote sita za epl zimejitoa
Pereza ataficha wapi uso wake.....
Simkubali hata kidogo jamaa
UEFA wana hali ngumu sana kwa sababu vilabu vikubwa vya dunia tayari wameshaunga mkono jambo hili bila kupepesa nadhan UEFA na FIFA bora waje matao ya chini kuwe na league 3 ukitoa zile za ndani, hiyo Champion League, Super league na Europa hapa issue kubwa ni biashara kama UEFA wameona ni changamoto basi waongeze mapato kwa hivyo vilabu na kuwa wawazi zaidi ili clubs wanachama wavunje mkataba na Super League.,
Kwa mara ya kwanza soccer linapata mtikisiko wa aina yake, na nadhan hii UEFA hawakuilalia wala kuiamkia imekuja kufumuka tu tayari watu washaingia sokoni kushawishi vilabu.,
UEFA mimi nawachukia sana mwaka 2011 Arsenal ikichecha na Barcalona ikiwa tayari Arsenal wanaitoa barcalona basi walimpa kadi nyekundu Van Parsie kwa mipango tu ili fainali lazima akacheze Barcalona na team nyengine ili wake make more money.,
Waziri Mkuu Boris amewasha moto sio kwa maslahi ya UEFA & FIFA, amewasha moto kwasababu hajaeleweshwa jinsi league itakavyokua ina kwenda na hofu yake ni team zote kali za England zimesha sign mikataba na European Super League ya miaka 23.
Sasa anaona league ya england haitakua na ushindani kabisa, team zitawaza kupambana kufa kwenye hio league tu kwasababu ya hela ndefu.
Unaamini hata huko hakutakua na upangaji wa matokeo???UEFA washenzi, unakumbuka mfano mmoja wa kupanga kwao matokeo (Match ya Arsenal VS Barcelona) Arsenal match ya kwanza walishinda, walipokwenda Nou Camp wakafanyiwa hujuma Van Persie akapigwa kadi nyekundu?
Hao jamaa wanapanga sana matokeo ya mechi, kuanzia group stage mpaka mshindi.
Sasa hili pambano ni la kiuaji zaidi, maana team zote kubwa 12 zitashiriki league bila hata qualifiers match.
Mshindi wa UEFA huwa anapata kitita cha around € Millioni 19, mshindi wa pili anapata kitita cha € Million 15.
Super League wamesema kila team itakayo kubali kujiunga na Super League kama founding member, itapewa € Billion 3 kwaajili ya kufanya maandalizi/ujenzi wa viwanja. Halafu, mshindi kwenye mashindano atapata kitita cha € Millioni 500.
Kwa hio hela ya mshindi kupokea € Millioni 500, team zitakuwa zinacheza kufa na kupona na zitatoana roho uwanjani. League hii itakua na mechi kali sana kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu (Kwanza top clubs zote za ulaya zipo, halafu hela ni ndefu sana kwa mshindi atakae beba kombe).
Imenibidi nicheke tu[emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo bwana eti hajaeleweshwa hahaha! Mkuu unadhani Borris ni kama mzee meko ambaye hashauriki na ukimshauri umeharibu?
Wenzetu hawaendi hivyo na ukiona kiongozi wa nchi anaongea kitu jua anajua a to z juu ya anachoongea.
Figisu kama hio aliofanyiwa Arsenal VS Barcelona na mechi nyingine nyingi ndio maana wengi walianza kuichukia UEFA, uongozi wa UEFA & FIFA wa miaka ya 1998 mpaka 2007 huko ndio ilikua vizuri. Siku hizi wanaenda kisiasa sana.
We fikiria Mwenyekiti wa UEFA siku hizi mshahara wake ni siri. Wanaficha nini kama sio ufisadi.
Safari hii watu kuanzia 16 bora, wameshapata taarifa kwamba mshindi ni PSG alie andaliwa.
Waziri Mkuu Boris amewasha moto sio kwa maslahi ya UEFA & FIFA, amewasha moto kwasababu hajaeleweshwa jinsi league itakavyokua ina kwenda na hofu yake ni team zote kali za England zimesha sign mikataba na European Super League ya miaka 23.
Sasa anaona league ya england haitakua na ushindani kabisa, team zitawaza kupambana kufa kwenye hio league tu kwasababu ya hela ndefu.
Naona akili zinaanza kukurudia mdo mdo tuHapa naona huyo mwenyekiti wa ESL anaenda kupiga hela vibaya mno. Nadhani huu ni mtengo ambao vilabu vimeingia kichwa kichwa kwa tamaa za kifedha. Imagine hiyo ligi isifanikiwe kuanza, itabidi vilabu vivunje mkataba sasa lazima wamlipe mwenyekiti maana waliisha saini mkataba awali. Hapo kuna watu watapiga hela we tulia
Sawa bosi nimekuelewaViongozi wangapi ulaya wana pandishwa punda kila kukicha, kama viongozi wetu africa??? Wanaishia ku resign kwasababu ya kupandishwa punda kwa lifti???
Huyo ni Waziri Mkuu Wa Kuja tu, amejitekenya kisiasa zaidi na sio kwamba ana ufahamu au uelewa wowote, leo au kesho hatakuwepo kwenye huo uwaziri mkuu.
Tatizo letu waafrica tuna waabudu sana viongozi wazungu, ila na wao ni binaadamu ambao wana danganyika kama wa kwetu huku.
Donald Trump yuko wapi sasa hivi??? Mara ngapi alipandishwa punda mpaka akaishia kuongoza utawala mmoja then akapigwa chini???
Boris ni nani yeye asidanganywe na vishawishi vya kisiasa???
Mdau yetu macho tuNaona akili zinaanza kukurudia mdo mdo tu
Timu za England ndo uefa yenyewe, hapo wamewashika pabayaUEFA wameshapoteza team zote kubwa, wamebakia na PSG, Bayern na Dortmund. UEFA ijayo tutakua tunaona watoto tu wakicheza.
Mambo ya kubet yaliposhika Kasi, ladha ya soka ilipotea kabisa.. sio kama zamani"UEFA & FIFA" ni wahuni na wapangaji wa matokea ya mechi juu ya meza kwa kushinikizwa na makampuni y