Kikao cha Dharura: Mashabiki wa team 12 (Vichwa Ngumu) zilizoanzisha "European Super League". Tukutane hapa tujadili jambo hili

Man City kajitoa huko
Mdau nilisema hapa na nitaendelea kusema perez asali sana timu za epl zisijitoe maana iyo michuano yake haitakua na maana tena..........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]https://jamii.app/JFUserGuide perez
 
UEFA wameshapoteza team zote kubwa, wamebakia na PSG, Bayern na Dortmund. UEFA ijayo tutakua tunaona watoto tu wakicheza.
Perez kabaki na timu kumi sasa


Nadhani umeiona nguvu ya boris pale epl hapana chezea serikali wewe sasa kwa kutulia rungu lingine linakuja kutoka kwa huyo huyo boris.....
 
wameshasain makubaliano ya kutokujitoa USL, (na walifanya hivyo maksudi ili kama ni kuadhibiwa waadhibiwe wote, kitu ambacho hakiwezi tokea).....


divide and rule hiyo hapo haitakuepo,
City na Chelsea washaondoka, Barca na Atletico wanafatia, atabaki Madrid na Man U/Liver
 
Niliitamani sana hii ligi, ingekuwa ligi bora sana hasa kama upande wa pili UEFA watu wamekuwa wakilalamikia juu ya utendaji wake
 
Huu mpango Perez aliuchora sana we tulia, lazima wamwage mahela kwa kuvunja mkataba. Eti mkataba miaka 20 na ushee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndio utajua hata ulaya viongozi kama mangungo wapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duu.... Tusubir Perez atasemaje
Chizi huyo kawasainisha mikataba ya miaka 23 ch ajabu hata michuano haijaanza ishakufa.....
Mbona timu zipo nyingi tu akachukue awapeleke kwenye iyo michuano yake
 
Arsenal watakua na mkosi aisee...

2006 Fainali ilikua kati ya Arsenal na Fc Barcelona.
Kipa alipewa nyekundu na barca wakapewa penalty kwa kosa ambalo maamuzi yake yalileta utata technically.

Barcelona wakaibuka mabingwa. Huo ndo ulikua mwanza wangu kuwaonea huruma Arsenal wanapofanya vibaya, na kufurahia mazuri yao. Actually huo ndo ulikua mwanzo wakushabikia Arsenal
 
Figisu hazijaanza hivi karibuni
Kumbuka match kati ya Arsenal na Barcelona 2006. Hii ilikua fainali iliyompa barca ubingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…