Kikao cha Dharura: Mashabiki wa team 12 (Vichwa Ngumu) zilizoanzisha "European Super League". Tukutane hapa tujadili jambo hili

Atletico Madrid na Inter Milan nao wamejiondoa mda huu.
Source:Sky sports.
 
Alipewa card na refs sio UEFA...
BARCA YA 2011 HAIKJWA YA KUFUNGWA NA ARSEnAL.
 
Ila huu ni ufala na usaliti..siungi hii movement
 
Perez kabaki na timu kumi sasa


Nadhani umeiona nguvu ya boris pale epl hapana chezea serikali wewe sasa kwa kutulia rungu lingine linakuja kutoka kwa huyo huyo boris.....
Borris ana nguvu gani EPL?

Boris ametishia kufuta vibali vyote vya wachezaji wa kigeni wanaocheza vilabu vya pale uingereza, hiyo ndiyo nguvu yake?
 
Mbona ligi hiyo imeshairishwa na timu zimeshatoka na kuomba radhi, sasa hakuna tena hiyo ligi
 
Borris ana nguvu gani EPL?

Boris ametishia kufuta vibali vyote vya wachezaji wa kigeni wanaocheza vilabu vya pale uingereza, hiyo ndiyo nguvu yake?
Hana tofauti na magufuli, kutumia mabavu hata sehemu isiohitaji mabavu.

Hii league ingefungua dirisha la vijana kucheza soka, match zingekua ni kali hatari. Team zingecheza kufa na kupona. UEFA siku hizi haina hata mvuto kabisa, team zote kubwa za England zinacheza EUROPA LEAGUE na hazipo UEFA.

Watu wanaipinga kwasababu ya uoga wa kujaribu opportunity mpya, na ndio maana vijana wengi hawaendelei kwasababu ya uoga wa kujaribu mambo mapya.

Walitakiwa wairuhusu icheze hio league, kama ingetokea sio league nzuri basi ingekufa, na kama ingetokea kuwa league nzuri basi FIFA na UEFA wangejiendeleza kwa mawazo mapya kufufua league zao.

Watu ni waoga wa competitors kibiashara. Ni ujinga na upuuzi huo watu waliokua nao kwa kuishi maisha kwa kukariri.

Kuna tetesi team za England zimepewa dau zito na UEFA kujitoa katika hio league, hii ni sawa na rushwa. Soon time will tell scandle nyingine katika soka, kama ilivyokua scandle ya Platini kupokea mpunga mrefu kutoka kwa Qatar ndani ya FIFA WORLD CUP.
 
Watu wanapinga hii league haswa Uefa sio kwasababu ni mbaya ila ni kwasababu maslahi yao ya kifedha yanaguswa, fikiria ingekuwa vipi Champions league bila hizo team 12 zilizojitenga? Maana yake ilikuwa inaenda kupoteza mvuto ama kupotea kabisa, ndio maana vitisho vimetumika sana haswa kutoka England kwasababu kwasasa Kampuni zao ndio zina haki ya matangazo ya UCL, ila kama walikuwa hawahusiki hii ishu ingeendelea.,
Perez anasema kuwa hizo team zilizosema zimejitoa bado hazijafanya hivyo na hii ishu bado itaendelea kuwepo kwasasa watafanya kuwaeleza fans wao nia yao ilikuwa ni nini na mipango yao ni ipi, so acha tuone itakuwa vipi ila NINADHANI Uefa na FIFA watakuwa wameelewa kinachotakiwa na hivyo club so ni uamuzi wao wa kufanyia kazi hizo kasoro
 
Perez alijisahau kuwa alikua anapanga mipango na jopo la wanafik
Wanafiki haswa, Perez anadai hii project imefanyiwa kazi kwa miaka 3 na hivyo vikao vilikuwa vinaendeshwa na directors wa hizo club ila walivyokuja kugeuka ni kama walikuwa hawajui kilichokuwa kuna endelea.,
Halafu ni mashabiki wa team za England tu ndio ninaona wanalia sana sijui shida yao ni nini haswa, ila Spain na Italy sijaona hiyo shida.
 
Perez amesema hii league ni kwasababu ya kuokoa mpira wa miguu;

1) UEFA inauwa mpira wa miguu, na siku hizi haina ladha wala mechi kali kabisa (Mechi kali zinaanza robo na nusu fainali). Wao wanataka Super League match kali zianzie group stage mpaka fainali.

2) Opportunity ya vijana kucheza soka na kuhamasika itaongezeka sana.

3) Hakuna mtu aliojitoa mpaka sasa hivi kwenye Super League, kwasababu kuna kipengele cha kutokujitoa pindi utakapo sign mkataba wa kujiunga Hivo wote team 12 badi zipo kwenye hio league (Waliweka hivyo kwasababu ya kukwepa wanafiki watakao geuka geuka).

4) Super League haijafa bado, ipo standby kupisha kelele na figisu zinazo fanyika Europe.
 
Walionekana waliwashika vibaya SANA Uefa, jana nimeona interview ya Rais wa UEFA akiulizwa kama game za nusu fainali zitaendelea ama laa jamaa akasema uwezekano wa kutokuchezwa ni mdogo sana kwa kuwa walikuwa wameshaingia makubaliano tayari na wadau, so zile mara PSG atapewa ushindi zilikuwa ni kelele tu na panic kutoka kwa maafisa wa UEFA., jamaa walipata moto utadhani kuna raia wameuwawa.
 
Akili za waingereza na wabongo tofauti ni kidogo tu.
 
Akili za waingereza na wabongo tofauti ni kidogo tu.

Chakushangaza kabisa ni kuwa ni kama watu ambao hawakujiandaa na hilo jambo, Perez alishajiripua na yupo tayari kwa lolote litakalotokea. Sasa wao sijui walitegemea mambo yatakwenda kilainilaini hivi? Nashindwa kuwaelewa kabisa.
 
Chakushangaza kabisa ni kuwa ni kama watu ambao hawakujiandaa na hilo jambo, Perez alishajiripua na yupo tayari kwa lolote litakalotokea. Sasa wao sijui walitegemea mambo yatakwenda kilainilaini hivi? Nashindwa kuwaelewa kabisa.
Perez alichokuwa anataka ni namna ya kuongoza wigo wa mapato ndani ya club, anaona kama Uefa wanawanyonya sana ndio maana alitaka kujinasua huko.
 
Kuna watu wana hela dunia hii

Sijui wanazipata wapi,mtu anaahidi kugawa euro billion 3 kudadeki wakati mimi kumuahidi bi mkubwa shilingi 10,000 naona ngumu
 

UEFA Executive Committee cannot sanction Real Madrid for Super League involvement.​

There are no legal grounds on which the UEFA Executive Committee can sanction Real Madrid for their involvement in the creation of a breakaway European Super League.
The aforementioned committee does not have the power to sanction Real Madridor any club, as the body responsible for sanctions is the Disciplinary Committee. There is no legal basis for any possible action and, if necessary, the Court of Arbitration for Sport (CAS) would overturn the decision.

Real Madrid have not violated any article of the competition regulations. There is no article that mentions the incompatibility of creating or presenting a parallel competition. In the Champions League regulations for the 2021-24 triennium approved on Tuesday, it does not mention it either.
 
Ukisoma hiyo article hapo juu utaelewa ni kiasi gani Uefa walikuwa wameshikwa pabaya, ndio maana Papa Perez alikuwa na uhakika na kitu alichokuwa anafanya, ni vile club ya England zilikimbia kivuli Chao jamaa wangeweza kupata wanachotaka kutoka Uefa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…