Ukiwasikiliza wazee walioshiba ukatoliki huwa wanasimulizi yao kuwa Tanzania ni nchi teule ya Mungu kama ilivyokuwa Israeli. Kwa haya yanayotokea ghafla ghafla ni kama yanasadifu ukweliKuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.
Katika mazungumzo inaonekana pia kuwa kuna ambao wanasema maji yasikorogwe zaidi. Gwajima ameongea machache katika mengi anayoyafahamu so wanapaswa waangalie wasije wakamfanya amwagike zaidi. Ni bora waende naye kwa tahadhari sana.
Kuna wasanii wameanza pigiwa simu na masheikh na baadhi ya wachungaji njaa watoe matamko. Masheikh wamekubali wachungaji watatu wamekataa kuna wawili wamependekezwa hawajapatikana kwa simu. Hawa wanaandaliwa nao waje kujibu.
Vijana wengi wameambiwa sasa waanze kukumbushia ile video Gwajima akipiga show. Gwajima hili aliambiwa akasema siyo issue si ni mwanaume? So kama alikuwa anapiga show maana yake yupo sahihi.
Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani. Kila mara huwa anaonekana kuwa mbele yao. Lakini wameanza tafutwa pia watu walioonekana kuwa nyuma yake kwenye press. Hilo ni pendekezo kutoka kwa Mkubwa mmoja wa vyombo vya dola. Kuwa hao waliokuwa nyuma yake wakati wa press nao wafikiwe.
Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini.
Gwajima ameongea kwa mifano ili ionekana hana uhakina lakini inaonekana ana taarifa zote nyeti.Ameongea ukweli ila kwa njia ya mifano.Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.
Katika mazungumzo inaonekana pia kuwa kuna ambao wanasema maji yasikorogwe zaidi. Gwajima ameongea machache katika mengi anayoyafahamu so wanapaswa waangalie wasije wakamfanya amwagike zaidi. Ni bora waende naye kwa tahadhari sana.
Kuna wasanii wameanza pigiwa simu na masheikh na baadhi ya wachungaji njaa watoe matamko. Masheikh wamekubali wachungaji watatu wamekataa kuna wawili wamependekezwa hawajapatikana kwa simu. Hawa wanaandaliwa nao waje kujibu.
Vijana wengi wameambiwa sasa waanze kukumbushia ile video Gwajima akipiga show. Gwajima hili aliambiwa akasema siyo issue si ni mwanaume? So kama alikuwa anapiga show maana yake yupo sahihi.
Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani. Kila mara huwa anaonekana kuwa mbele yao. Lakini wameanza tafutwa pia watu walioonekana kuwa nyuma yake kwenye press. Hilo ni pendekezo kutoka kwa Mkubwa mmoja wa vyombo vya dola. Kuwa hao waliokuwa nyuma yake wakati wa press nao wafikiwe.
Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini.
habari ya kuunga unga hii ....Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.
Katika mazungumzo inaonekana pia kuwa kuna ambao wanasema maji yasikorogwe zaidi. Gwajima ameongea machache katika mengi anayoyafahamu so wanapaswa waangalie wasije wakamfanya amwagike zaidi. Ni bora waende naye kwa tahadhari sana.
Kuna wasanii wameanza pigiwa simu na masheikh na baadhi ya wachungaji njaa watoe matamko. Masheikh wamekubali wachungaji watatu wamekataa kuna wawili wamependekezwa hawajapatikana kwa simu. Hawa wanaandaliwa nao waje kujibu.
Vijana wengi wameambiwa sasa waanze kukumbushia ile video Gwajima akipiga show. Gwajima hili aliambiwa akasema siyo issue si ni mwanaume? So kama alikuwa anapiga show maana yake yupo sahihi.
Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani. Kila mara huwa anaonekana kuwa mbele yao. Lakini wameanza tafutwa pia watu walioonekana kuwa nyuma yake kwenye press. Hilo ni pendekezo kutoka kwa Mkubwa mmoja wa vyombo vya dola. Kuwa hao waliokuwa nyuma yake wakati wa press nao wafikiwe.
Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini.
Makosa yanayofanywa na Viongozi ni kutaka kujibu Kila kitu au kumjibu Kila mtu.Ushauri hata hao machawa wasimjibu,watulie tu.
Umechima bit as if ww ndio mtawala, calm down bro, hamna kitu gwajima atafanywaGwajima ni mtu mdogo sana tena zaidi ya Martha Karua. Sasa kama Martha Karua kaicha nchi unshaken, unafikiri Gwajima ataifanya chochote! Subiri uone!
Huyo ni fala mmoja tu anaejipendekeza akitegemea atapata chochote kumbe ni km Malaya tu ukishatumika unaachwa kandoKwani Lucas Mwashambwa ametumwa na kikao gani kumjibu huyo Askofu Gwajima Siku ya Jumatatu saa 5:00 asubuhi? 🐼
😂 popo mbili zavuka mtoKama naiona press nyingine ya nguli sana jimmy mafufu na steve ake nyerere, watakuwa bize sana sasa hivi wana rehearsal povu la kutema
Martha Karua watanzania wengi hawamjui, anajulikana huko kimataifa kwa hiyo hapa ni kama mgawanyo wa majukumu. Kina Karua wakomae huko kimataifa wanakoaminiwa ya huku ndani watuachie kina Gwajiboy na wengine watakaoibukaGwajima ni mtu mdogo sana tena zaidi ya Martha Karua. Sasa kama Martha Karua kaicha nchi unshaken, unafikiri Gwajima ataifanya chochote! Subiri uone!
Mboni kashasema au wewe hukumsikia vizuri?Huu ni moto mkali, wakimjibu tu, fasta tutajua kiongozi wa kikundi cha mauaji na washika mabunduki wake wote wanaoogopwa na aijipii na mbaba wa tissue na majeiwii! 😛 😛
Itakuwa burudani ghafla...
Sio Gwajima atafanyiwa chochote, bali yeye HAWEZI kuifanya chochote Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maneno hata Marekani kwa Trump yapo.Umechima bit as if ww ndio mtawala, calm down bro, hamna kitu gwajima atafanywa
Ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuachaMartha Karua watanzania wengi hawamjui, anajulikana huko kimataifa kwa hiyo hapa ni kama mgawanyo wa majukumu. Kina Karua wakomae huko kimataifa wanakoaminiwa ya huku ndani watuachie kina Gwajiboy na wengine watakaoibuka
"comedy" za Gn-Z wa Kenya mtandaoni zinachangamsha kwa kweli tuone na wao kama watafatwa mmoja mmoja ndani na kupotezwa ndani ya nchi yao
Damu ya viongozi wa dini haiwezi kumwagika hivi hivi isiache laana kwa walioimwaga. Mungu hadhihakiwi
Haya. Komaa na Gwajima wako. Utanipa mrishonyuma mtakapofikia.Martha Karua watanzania wengi hawamjui, anajulikana huko kimataifa kwa hiyo hapa ni kama mgawanyo wa majukumu. Kina Karua wakomae huko kimataifa wanakoaminiwa ya huku ndani watuachie kina Gwajiboy na wengine watakaoibuka
"comedy" za Gn-Z wa Kenya mtandaoni zinachangamsha kwa kweli tuone na wao kama watafatwa mmoja mmoja ndani na kupotezwa ndani ya nchi yao
Damu ya viongozi wa dini haiwezi kumwagika hivi hivi isiache laana kwa walioimwaga. Mungu hadhihakiwi
Kuna mahali alisema atafanya lolote kwa jamuhuri?Sio Gwajima atafanyiwa chochote, bali yeye HAWEZI kuifanya chochote Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maneno hata Marekani kwa Trump yapo.
Tui limeingia nyongoKuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.