Tetesi: Kikao cha Dharura namna na watu wa kumjibu Gwajima

Kwani Lucas Mwashambwa ametumwa na kikao gani kumjibu huyo Askofu Gwajima Siku ya Jumatatu saa 5:00 asubuhi? 🐼
Yule mshamba ni kiherehere chake tu hana uwezo kupangua zile nondo, na Gwajima kasema yuko tayari kufanya press hata sita hadi kieleweke na anasema next time atakuja na mzigo mkubwa zaidi. Tulishawaonya hawa kuwa damu za watu zinasema wakabisha, sasa kumekucha karibu nyani atatema bungo.
 
Sio Gwajima atafanyiwa chochote, bali yeye HAWEZI kuifanya chochote Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maneno hata Marekani kwa Trump yapo.
Yule mwenye kakikundi kake ka utekaji karipuliwa, huko alipo chupi linamkazakaza mavi yanagonga chupi soon tunaenda kumjua ila tunamjua Mkuu wa Mkoa wa Dsm front Amos Makalla backyard Albert Chalamila ndio Mkuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa, huyu hata akiwa na genge lake na polisi wakiambiwa tumetumwa na fulani tufanye jambo fulani kwa kutumia jina na nembo au logo ya jeshi la polisi polisi wanafyata mikia
 
Sasa ilibidi mtu mwingine akiwashe leo kutokea Mwanza, mwingine Arusha, viongozi wa dini wana mchango mkubwa kusaidia hili taifa..
 
Watetezi wa mafisadi na wabakaji wanakuja kukuzodoa
 
Hajataja jina la ntu boss! Kinachokuja watatajwa na matukio yao hatua kwa hatua!
Kwani hawajulikani nani kakuongopea? Shida ni kuwanyoshea kidole tu ila acha iwe kwani wao watoto wao wakitekwa na kuuliwa watafurahi?
 
Ukistaajabu ya Gwaji boy utayaona ya Konda boy vichawa vya chura kiziwi sahiv vinatoka kwenye mashimo yao yupo pia Lucas Mwanshamba
 
Gwajima katumwa na mama na ccm wenyewe ili kuwahadaa Dunia ni mbinu ya kupoza hasira za watanzania kwa Serikali ya sasa juu ya manyanyaso uonevu wanaowafanyia chadema
 
Wakimjibu noma, wasipo mjibu noma, wakimteka wakamuue noma, kila kitu noma
 
Mtu Hatari kwa sasa ni makala kwani yeye hana ubinadamu kajikita kwenye biashara na mbowe wanapiga pesa za kuidhoofisha chadema, mipango yote haramu ya kishetani inasukwa na makala kisha wanamchochea mama anawatuma Polisiccm kufanya vitendo haramu vya kishetani wanapata kisingizio cha kuomba bilion 15 kazi maalum na kuwanunua G55 kuwasokomeza chaumaubwabwa na pesa zingine wanagawana na mbowe na wengine ikiwemo IGP, Udikiteta kwao Dili kwa sasa
 
Gwajima ni mtu mdogo sana tena zaidi ya Martha Karua. Sasa kama Martha Karua kaicha nchi unshaken, unafikiri Gwajima ataifanya chochote! Subiri uone!
Zaidi ya matusi kwake sioni atakayekuja na majibu ya maana. Uzuri kaenda na maelezo yaliyonyooka. Martha Karua si Mtanzania, hata sielewi umemuingiza vipi kwenye huu utetezi wako. Ama hujapewa kiitikio cha kumjibu Gwajima mpaka sasa?
 
Ametoa tahadhari kuwa atarudi tena hadi hili jambo la kutekana liishe.
 
Mbona hata humezi mate yaani ni Kama unakimbizana
 
Kuna mpango mkakati ccm wa kupoza joto la kisiasa na pia kumpunguzia mama pressure za matusi toka kenya ndipo wamemtuma Gwajima aongelee utekaji ili Serikali nayo waonekane wanaumia juu ya Utakaji wakati ni mbinu za kuuhadaa ulimwengu tu
 
Gwajima ni mtu mdogo sana tena zaidi ya Martha Karua. Sasa kama Martha Karua kaicha nchi unshaken, unafikiri Gwajima ataifanya chochote! Subiri uone!
We kweli mtoto wa shule, unajua mijadala inayoendelea wakati huu kimataifa? Unajua madhara yake? Eti kaiacha unshaken. Mnajazana sana upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…