Kikao cha kamati kuu ya CHADEMa leo si halali kwa kuwa nusu ya wajumbe wake walitenguliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa

Kikao cha kamati kuu ya CHADEMa leo si halali kwa kuwa nusu ya wajumbe wake walitenguliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa

Kamati kuu ya chadema ya leo haina coral, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali
Mgombea Urais wa CCM , Mgombea mwenza na Mgombea Urais Zanzibar,sio halali ,kwa kuwa mchakato wa kuwateua ulikiuka utaratibu wa katiba ya chama Cha CCM.

Punguza umbeya MWANAMKE kufuatilia mambo ya watu ,wakati kwako yamekushinda, angalia utapata MIMBA nyingine ambayo haina Baba.
 
Msajili ni Jaji wa Mahakama Kuu, inapokuja suala la sheria, anaaminika. Suala la mamba anaendeleaje ndani ya maji, jibu la samaki linaaminika kuliko la mbuzi
Tofautisha kuaminika kwa jambo fulani na kuwa la kweli.

Mhamiaji kutoka DRC anaweza kutusimulia kwamba kule kwao wanakula watu.

Sasa taarifa hiyo, hata ingeaminika dunia nzima, haiwezi kuwa kweli kwa kigezo tu kwamba yeye ni mwenyeji wa huko.

Ukweli unajitegemea wala hautegemei kuaminiwa ndipo uwe ukweli.

Ama unauamini au huuamini, wenyewe utabaki kuwa kweli.
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
Aisee. Hatari.
 
Back
Top Bottom