Kikao cha kamati kuu ya CHADEMa leo si halali kwa kuwa nusu ya wajumbe wake walitenguliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa

Msajili ni Jaji wa Mahakama Kuu, inapokuja suala la sheria, anaaminika. Suala la mamba anaendeleaje ndani ya maji, jibu la samaki linaaminika kuliko la mbuzi

Jaji gani chawa tuacheni kuvunja heshima ya majaji zetu. Toa vifungu vya sheria hapa. Mwanasheria wa Chadema kashaongea wajibu kisheria
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
Machawa mwisho wenu u karibu, umefika na umekaribia sana. Bado kidogo filimbi itapulizwa na hatutawasikia tena, endeleeni kukazana japo kwa haka kamuda kadogo kalikobaki, angalau historia ipate content ya kuwasemea.
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
Ni "quorum" wewe kilaza na sio "corum".
Kwa nini mlikimbia shule!!??
CCM wanapenda kuwatumia vilaza kama wewe ili wasihojiwe.
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
Baki hapo
 
Una uhakika kichwani mwako kuna akili?
Kichwani mwangu hakuna akili, kuna ubongo wenye akili.
Wewe ni huyu hapa.
JamiiForums-1270582057.jpeg
downloadfile-18~2.jpg
downloadfile-2.jpg
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
only if uongoz wa juu wa chama ukiona msajili yuko sawa. Lakin uongoz wa juu hauoni shida, and huyo msajili aliwapo kwenye upigaji kura mpaka viongoz wanapatikana, alikuwa wapi siku zote hizo?
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama

Ungekuwa na akili ungetambua wazi kuwa Msajili wa vyama hana mamlaka ya kutengua uongozi wowote wa chama chochote cha siasa. Uwezo wake unaishia kwenye kushauri.
 
Anayo mamlaka hayo
 
Swali fikirishi:

Kwa hiyo jamaa asingempelekea malalamiko, basi kosa analoliona sasa msajili lisingekuwepo, sivyo?

Nilitegemea kama kweli yuko serious na hicho akifanyacho, yeye mwenyewe msajili angeanzisha mchakato dhidi ya Sidiemu tangu siku ya kwanza.

Kwani angoje hadi aletewe malalamiko?

Hii ni kusema kosa lipo kwa vile tu kuna malalamiko, na bila malalamiko hakuna kosa - jambo ambalo kwa lenyewe ni kosa!
Huyo ni chawa wa mboga mboga TU!
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
Ndiyo maana Wakenya wanaendelea kuwanyoosha, kama akili za average Mtanzania ziko kama huu upuuzi uliopou-post let’s continue to enjoy clips za Wakenya YouTube.
 
Mgombea Urais wa CCM , Mgombea mwenza na Mgombea Urais Zanzibar,sio halali ,kwa kuwa mchakato wa kuwateua ulikiuka utaratibu wa katiba ya chama Cha CCM.

Punguza umbeya MWANAMKE kufuatilia mambo ya watu ,wakati kwako yamekushinda, angalia utapata MIMBA nyingine ambayo haina Baba.
We zombie ni zero brain
 
Back
Top Bottom