Kikao cha kamati kuu ya CHADEMa leo si halali kwa kuwa nusu ya wajumbe wake walitenguliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa

Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
Kamati kuu Chadema ina watu wengi ila wale nane hawatakiwi kabisa kuhudhuria kikao cha kamati kuu sio wajumbe halali
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
Ndo maana wanakutana kufanya tathimini, wakibaini kwamba hawana uhalali watafanya yawapasayo kufanya. Haya mambo wakati mwingine ni magumu kuyaelewa hasa kama wewe si sehemu yake au kama unasukumwa na nia nyingine. Tusubiri taarifa yao kesho.
 
Msajili ndio anachagua wajumbe? Aende basi na ccm akawachagulie
Swali fikirishi:

Kwa hiyo jamaa asingempelekea malalamiko, basi kosa analoliona sasa msajili lisingekuwepo, sivyo?

Nilitegemea kama kweli yuko serious na hicho akifanyacho, yeye mwenyewe msajili angeanzisha mchakato dhidi ya Sidiemu tangu siku ya kwanza.

Kwani angoje hadi aletewe malalamiko?

Hii ni kusema kosa lipo kwa vile tu kuna malalamiko, na bila malalamiko hakuna kosa - jambo ambalo kwa lenyewe ni kosa!
 
Sasa kama alitengua halafu akashindwa kuteua huoni hapo Kuna shida........!
Wajumbe wa kamati hawapitishwi i na msajili ni baraza kuu la CHADEMA ndio maana aliwaambia CHADEMA waitishe kikao cha kuu.Wahakkikishe akidi inatimia
Ndipo wapige kura wajumbe wa kamati kuu wanaowataka

Hicho kikao kama hao nane wamo ni batili
 
Ndo maana wanakutana kufanya tathimini, wakibaini kwamba hawana uhalali watafanya yawapasayo kufanya. Haya mambo wakati mwingine ni magumu kuyaelewa hasa kama wewe si sehemu yake au kama unasukumwa na nia nyingine. Tusubiri taarifa yao kesho.
Swala kwenye huko kutathimini wameingia kama wajumbe wa kamati kuu? Hao waliokataliwa na msajili? Na je wanalipwa posho? Hawastahili hata kulipwa posho sababu sio wajumbe halali
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
Analysis bora kabisaaaaa ya Chinembe akiwa katika ubora wake
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
Endelea kuota
 
Umebaki kuzurura tu kwa sasa kwa mbwa aliyetelekezwa ni kupita na kila anachokutana nacho jalalani.

Vipi ulipohamia CHAUMMA mnaendeleaje?

Ukirushiwa script ni kucopy na kubandika hapa .

Sasa quorum ndio coram siku hizi?

Pole sana lumumba watakutumia kazi ikiisha ni kama toilet paper.
 
Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali.

Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
Nenda kashitaki kwa Samia. Maccm mna usenge mwingi sana.
Msajili ni Jaji wa Mahakama Kuu, inapokuja suala la sheria, anaaminika. Suala la mamba anaendeleaje ndani ya maji, jibu la samaki linaaminika kuliko la mbuzi
Sisi tunamuona ni kanjanja tu kwani amejipa madaraka asiyokuwa nayo kisheria yaani ni kama amepiga punyeto tu,poor Mutungi.
 
Wajumbe wa kamati hawapitishwi i na msajili ni baraza kuu la CHADEMA ndio maana aliwaambia CHADEMA waitishe kikao cha kuu.Wahakkikishe akidi inatimia
Ndipo wapige kura wajumbe wa kamati kuu wanaowataka

Hicho kikao kama hao nane wamo ni batili
Hujui kitu wewe chukua kopo ukachambe kwanza tuondolee janaba lako humu.
 
Back
Top Bottom