Umeambiwa anajiuzulu nafasi zake yeye mwenyewe, hiyo Katiba ya CCM inazuia mtu kujiuzulu ujumbe wa Kamati kuu mpaka ajadiliwe kwanza? Halafu hujui nafasi ya Kamati kuu kaipata sababu ya madaraka ya bungeni?Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Kama hii ni kweli,hii ni dalili tosha kwamba Samia kashindwa kuendesha nchi.Yajayo yanafurahisha.Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Ubora gani mpuuzi tu huyo.Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Ngoma imemkalia vibaya hii bwashee. Bora aondoke pengine atapata amani. Inajulikana wazi mtu akiomba msamaha husamehewa Ila mama kamgomea Ayubu na mateso yake yote.Kwanini ajiuzulu kirahisi hivyo? Au kwakuwa bado ni tetesi?
unaweza kujiuzuli pascal, mbona yule mbunge wa pemba au rostam walijiuzuru?Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Muwataje na mashujaa wa mambo hayo pia.Watanzania mnachojuwa ni majungu umbwa, husuda na ufukunyungu.
Ulinzi, usafiri, posho, mshahara, rushwa n.kKama!?
Ndugai must go, hafai kabisa,Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Acha uongo watanzania gani bado wanaomhitaji mtu aliepoteza maana ya Bunge, kuweka bunge gizani na kusimamia sheria kandamiz nyingi kupitishwa. Akafie mbele tuNdugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Lazima ajiuzulu, mama hawezi kufanya kazi na mtu hatari kwa usalama wa Nchi ,na hatari kwa maendeleo ya nchi, anajenga chuki kwa wananchi waichukie serikaliKwanini ajiuzulu kirahisi hivyo? Au kwakuwa bado ni tetesi?
acha balaa weweLeo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Sijakutana na ilo jina aisee ila naona kwa Magu lilizidi mpaka wakina Fatuma Karume na Zitto wote wakimuita Dikteta ila kwa Samia sijaonaKwani Chief hajaitwa dikiteta? Cdm walimsema mapema tu baada ya kuona hana mwelekeo lakini wakamtetea kijinsia. Hukumbuki aliitwa Female Dic?
Hivyo alikuwa anafanyia kazi hata ww ukiwa spika leo hii utapataUlinzi, usafiri, posho, mshahara, rushwa n.k
Kazi gani kuvunja katiba? mbona covid 19 hawamtetei na yeye?Hivyo alikuwa anafanyia kazi hata ww ukiwa spika leo hii utapata
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Kwahiyo wakudenge wamekosa posho ya leo.
Yote hiyo imesababishwa na taarab ya mama.
Haya ni maoni yako mkuu!Lazima ajiuzulu, mama hawezi kufanya kazi na mtu hatari kwa usalama wa Nchi ,na hatari kwa maendeleo ya nchi, anajenga chuki kwa wananchi waichukie serikali